Baada ya kukutana na Beyonce na Jay Z, NBA yamkutanisha Jokate na Thierry Henry

Ni katika mkakati wa kutangaza papuchi za kibongo. Nakapendaga tu haka katoto basi tu sijabarikiwa kuwa celebrit
 
Inabidi akatike vizuri huko maana analiwakilisha taifa
 
Cheki alivyoshikwa shikwa kiuno.

Wanawake wetu wa kitanzania wanapenda sana kujirahisisha kwa mastaa yaani mpaka wanaboa.
Kiuno hakina shida kama ukiwa exposed na hivi vitu mara kwa mara...(hapo ni kuonyesha love tu ya kawaida kama kuna kitu kingine macho yangeonyesha pasipo na shaka....tatizo tumelelewa kutogusana na binti kiasi kwamba mtu akikukumbatia ile ya kawaida kama vile tufanyapo kwa mama ama dada n.k wengine hupeleka kwenye ngono wengine hutafsiri ni heshima kubwa umepewa)
 
Duuuu kajitoa ufahamu kamkaba hasa jamaa kiunon

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
safi safi dada JOKATE ,itangaze nchi yetu sky its a limit.
 
Thiery henry hapend kabisa kuchoneka shat

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
jokate kazaliwa Washington usa na amekulia oysterbay na ndipo anapoishi mpaka leo...

akili za kuolewa na kuoa mapema kisa umri ni tunazo maskini.. yeye anatimiza ndoto zake tu

Nimependa jibu lako yaani uswazi ndo akili zao zilipoishia kuoa, kuolewa na kuzaa
 


Man hawa wabongo utawaweza wapi. Kuna wengine hata wake zao hawajawahi kuwashika viuno. Wanasubiri wazime taa tu waingize
 
Man hawa wabongo utawaweza wapi. Kuna wengine hata wake zao hawajawahi kuwashika viuno. Wanasubiri wazime taa tu waingize
Unajua hata mie nilikuwa mlugaluga flani lakini baada ya kujichanganya kwenye shule na mambo mengine nikagundua ni love..ukijenga utamaduni huu kuanzia nyumbani kwa mke wako, watoto,dada, kaka na marafiki utajikuta mawazo ya chini ya miguu yanakuwa hayapo labda kwa ndugu zetu wenye imani ya Kiislam ambao wanafuata kila kitu kama kilivyoagizwa hapo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…