Baada ya kulambwa ban ya muda mrefu Yeezus nimerudi kwa kasi mpya

Baada ya kulambwa ban ya muda mrefu Yeezus nimerudi kwa kasi mpya

Sasa na wewe Warumi kumbe wew ni Me sasa mbona una mambo ya kike ?.
 
Kama upo humu JF na hujawaahi kumchapa demu hata mmoja kutoka humu JF rudi jandoni
 
Katika ID mpya, basi sawa mkuu...ila kumbuka BAN la JF halichachi
 
Sky Eclat mbona hukutokea kwenye ile lodge tuliyopanga

Pole kweli Ban ni jela ndogo!! hata huna taarifa kuwa Sky Éclat ametuaga kuwa anajitoa JF.
Karibu tena.
Kosa lipi lilikuweka "gerezani" muda mrefu?
 
Back
Top Bottom