Muda huu ni muda wa sala, ni muda wa tafakuri na muumba wako, wewe unaamka na nyege za Chadema. Haya sasa umemsikia Mzee Warioba kuhusu Katiba?My take; Ipo haja ya kusomesha vijana kama akina Mdude hata online courses ili wafahamu sayansi ya siasa.
Sio bure, utakua umeiota Chadema, sio mda mtaanza ongea peke yenu Chadema, ChademaHuu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.
Huna msimamo, wewe ni mnafiki tu na huna muda mrefu utabadilisha ID au utakimbia kabisa.Yaleyale mliozoea.
Sasa wenyewe wanakuja kudai katiba mpya kwakuwa akina sugu waligaragazwa kwenye sanduku la kula. Ulidhani raia yupi atawasikilizaa?Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.
Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.
Mawazo yako ndio batili, unalolitamani ni sawana dua la kuku, ona mnavyokongotwa kwenzi za kidigitali, si viwavi na hata wengine mnahaha.Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.
Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.
Sasa wewe na mleta mada mna tofauti gani?Muda huu ni muda wa sala, ni muda wa tafakuri na muumba wako, wewe unaamka na nyege za Chadema. Haya sasa umemsikia Mzee Warioba kuhusu Katiba?
Kiki ntafute nyie baada kila Jambo lenu kuendeshwa kwa ujanja ujanja.Shida yao ni moja, hawashikilii jambo moja.
Ila tu lile linalowapa kick.
Chato kuwa New York's.Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma...
Mzee Warioba amesemaje? Mtaka? Dialo? Wasira?Chadema ni fungu la kukosa
CDM wanatuangusha sana, leo wameshahama kwa Dialo wamehamia kwa Warioba. Sioni mkakati endelevu ndani ya chama hiki. Yaani mwaka 2021 ambapo njia rahisi na nafuu ya kuwafikia wananchi ni IT (wenzao CCM wanaitumia vizuri), wenyewe wanalilia mikutano ya hadhara (method ya 2010 kushuka chini).shida yao ni moja,hawashikilii jambo moja.
ila tu lile linalowapa kick.
Kwa mara ya kwanza ndo unamsikia warioba?Muda huu ni muda wa sala, ni muda wa tafakuri na muumba wako, wewe unaamka na nyege za Chadema. Haya sasa umemsikia Mzee Warioba kuhusu Katiba?
Hata kama ni la kupata huwezi kusema, kwa mtazamo wako na nia yako mbaya kwao.Chadema ni fungu la kukosa
Wewe ni mjinga na propagandist kama boss wako JPM.Huu ndio ukweli wa mambo. Kama kuna chama kina gundu basi ni Chadema maana kila wanalogusa kwao linabuma.
Kwa mkwara mzito walikuja na operation digital haki. Lakini ghafla bin vuu wakakengeuka na kudai kwa udi na uvumba wapo radhi kudai haki zao hata kwa kutumia majambia.
Tafiti za kisayansi zinaonyesha hata ziara za haki digital walizofanya hazijazaa matunda na sasa ndio wamepuuzwa kabisa na watanzania.
My take; Ipo haja ya kusomesha vijana kama akina Mdude hata online courses ili wafahamu sayansi ya siasa.