Baada ya kuligundua hili, najitoa rasmi jf

Baada ya kuligundua hili, najitoa rasmi jf

Hii imekuwa njia mpya ya kujipatia kiki ndani ya jf. Alianza Abbasifarudume nawe unaiga. Sawa mkuu
 
Hii ID yako najua inakusadifu but msafi sio sahihi, wewe ni mende na kazi ya mende ni kula na kutifua kinyesi, rudi kwa toi [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kawafundishe mende wenzio wawe wasafi kama ulivyowewe na uwaambie kuwa usafi huu nimeutoa jf
Kila La kheri
 
Naona unakomaa sasa kuufikia u-great thinker maana umetuvuta ma great thinker kwa hii thread ni mbinu nzuri kijana usijitoe jf unaelekea kuwa great thinker wa ukweli.
 
Teh halaf hii style naona ndio imeingia jf kama ya abas nae alijifanya anatoka kisa hapati likes wala comment kwenye thread zake
 
Umekuwa bora kwa u lazy thinker wako.
Ngoja nikuongezee coment zifike 2million nawewe.
 
Wakuu..
Tangu kujiunga na jamiiforums nilikuwa nikiamini wanachama wa jf ni binadamu wa kawaida. Lakini baada ya muda Fulani nilijitahidi kuwadodosa marafiki zangu na watu wengine, lakini hakuna hata mmoja aliyeonyesha kuwa anaifahamu. Kila MTU niliyemuuliza/kumdodosa alinijibu kuwa haifahamu jf. Hapo ndipo nikaingiwa na roho ya kudadisi ni kwa nini mtandao ambao kila mda umechangamka kwa post lakini watu ninaoishi nao hawaufahamu, ndipo nilipogundua jambo hili la ajabu.

Jambo hili ni kuwa jf ni kwa ajili ya magreat thinkers tu. Jamiiforums ina watu wenye ubongo mkubwa na unaofanya kazi kama compyta za CIA. Kiufupi jf ni ya watu wasiowaza mambo ya kijinga jinga. Kwa hiyo watu wale wote niliowauliza si ma great thinkers ndiyo maana hawaufahamu.
Ikabidi ni mimi nijifanyie utafiti kama nastahili kuwa great thinker. Na nikaja na majibu kuwa mimi sisistahili kuwa hata kijakazi kwa great thinker. Ni great thinker gani anajiita mende msafi?, great thinker gani yangu ajiunge jf hajawahi kupata PM?. Ni great thinker gani anashindwa kutoa Uzi kwenye maana kiasi cha kuvuta watu 100 kukoment?
Nimekaa na kutafakari na nimeona kuwa sistahili kuwa hapa.
Kwa herini ma great thinkers.
Narudi fecebook...


Wenu,

Smallest thinker
Weka ID ya mwanamke afu weka thread unatafuta bwana. Koment 100+ zitakuja chap
 
Back
Top Bottom