Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Hizi comments nimecheka leoHakuna hata lenye ahueni tena bora la yanga ila la simba ukipita hata nje kama jengo la kale bagamoyo lililonyewa na kunguru
Mambo ya ajabu sana, akina Mo na Manji wameshindwa kabisa kuonyesha mfano?Yaani ukongwe ndio umezifanya Simba na Yanga zishindwe hata kukarabati majengo?
Huyu ni wa saa kumi na mojaShadeeya njoo huku klabu yenu inajadiliwa..
Tena ndio maana kipindi cha usajili walikuwa wanasajili wachezaji Sebleni kwa Mo.Hakuna hata lenye ahueni tena bora la yanga ila la simba ukipita hata nje kama jengo la kale bagamoyo lililonyewa na kunguru
🙏🙏Huyu ni wa saa kumi na moja
Kaka naona mleta uzi kaamua kuileta habari ambayo imelalia upande mmoja.Shadeeya njoo huku klabu yenu inajadiliwa..
Ngoja tulifuatilie na hilo la upande wa piliKaka naona mleta uzi kaamua kuileta habari ambayo imelalia upande mmoja.
Mie nataka nimwambie tu hatukatai ila letu Wananchi lina unafuu ambapo hata ukipita unajua hapa ndio Makao Mkuu ya Wananchi. Na sio pale naniliu pale 😜ambapo ukipita mpaka uulize njia ya kwenda huko iko wapi mana kuna machinga mpaka mlangoni.
Tena huko ndio hoi bin taaban.Ngoja tulifuatilie na hilo la upande wa pili
Karibu
UMESHAINGIA LA SIMBA UKAONA JINSI NJE MPAKA NDANI LILIVYO BOVUUU.../ ACHA KUISIMANGA YANGA INGIA NDANI YA JENGO LA SIMBA AU INGIA KATIKA JENGO LENYE AZANIA BANK UPANDE JUU ULIANGALIE VIZURI JENHO LA SIMBA.
Aluco bond na glass glazed fascades hufanana kama hivi...
View attachment 1224494
Nenda pale Kariakoo mtaa wa Lindi karibu na makutano ya lindi/ Sikukuu, opposite na Sapphire court hotel, kuna duka la mabohora wale wahindi wanauza Aluco bonds za rangi kila aina. Hizo Alluminum frames na vioo vya kila rangi vinapatikana gerezani kariakoo.Hii Kitu inapatikana wapi Mkuu?
Mkuu yaani kwenda Ulaya ni ishu kubwa kwako kuwezekana?Nitaenda ulaya endapo simba au yanga waki jenga viwanja vyao
Mbona Wekundu wapo mahali ambapo kwanza ni maarufu sana, pili pana thamani kubwa kulinganisha kule kwenye mashamba ya mpunga(mafuriko kila wakati halafu eti mnapaita jangwani🤣🤣🤣)Kaka naona mleta uzi kaamua kuileta habari ambayo imelalia upande mmoja.
Mie nataka nimwambie tu hatukatai ila letu Wananchi lina unafuu ambapo hata ukipita unajua hapa ndio Makao Makuu ya Timu ya Wananchi.
Na sio pale naniliu pale 😜ambapo ukipita mpaka uulize njia ya kwenda huko iko wapi mana kuna machinga mpaka mlangoni.
Mikataba inasainiwa kwa wakili ujue ShadeeyaTena ndio maana kipindi cha usajili walikuwa wanasajili wachezaji Sebleni kwa Mo.