Baada ya kuliona jengo la Yanga FC, nimeanza kuamini uchawi upo

Baada ya kuliona jengo la Yanga FC, nimeanza kuamini uchawi upo

View attachment 1225105
Mtoa mada una kaa Nyagwa
Screenshot_20191007-075615.png
 
suala la ukosefu wa kujishughulisha kwa vijana wengi hupelekea akili zao kuwa finyu na kinachoendelea vichwani mwao ni SIMBA NA YANGA! Nothing else! !
Wivu wako tu. Nadhani jamaa anajishughulisha ndo maana kaja na idea ya maendeleo kama hii.
Ulitaka aje na idea ya ngono ndo uone anafikiri?
 
suala la ukosefu wa kujishughulisha kwa vijana wengi hupelekea akili zao kuwa finyu na kinachoendelea vichwani mwao ni SIMBA NA YANGA! Nothing else! !
Tumeshashiba ugali wa mhogo na maharage tupo tunapunga upepo.
Unataka tuwaze nini zaidi ya tulivyonavyo.wewe endelea kuwaza kupiga picha na Trump
 
Kama si uchawi sijui itakuwa nini, ukiambiwa lile jengo lililojaa ukungu mweusi wa fungus kama kuta za choo cha Tandale kwa mfuga mbwa ni jengo la klabu kubwa zaidi barani Afrika na Tanzania unaweza usiamini.
Sasa mimi nitoe way forward badala ya kuishia kulalamika tu. Wafanye fascadal upgrading kwa kutumia material mbadala kama 'alluminum-plastic composite boards' na 'glass glazing sheets', hizi hata miaka mia hazina kuchakaa, kazi yako ni kung'arisha tu kama kioo cha gari, nitawaandalia '3D computer rendered model' ya jinsi jengo litavyoonekana baada ya hio upgrade bure kabisa. Vitu vingine vinatia aibu sana. Yaani hata simple landscaping/ gardening imewashinda kabisa, mazingira ya nje ni matope na uchafu uchafu.
Wewe utakuwa unafungus kichwani Si bure
 
UMESHAINGIA LA SIMBA UKAONA JINSI NJE MPAKA NDANI LILIVYO BOVUUU.../ ACHA KUISIMANGA YANGA INGIA NDANI YA JENGO LA SIMBA AU INGIA KATIKA JENGO LENYE AZANIA BANK UPANDE JUU ULIANGALIE VIZURI JENHO LA SIMBA.
Yanga Ten alihamasisha matawi wakachanga,jengo lilishakarabatiwa na ndiyo Ten akaanzisha chumba cha habari,huyu mbumbumbu anavyoona pale kwao watu wako busy na kodi tu wala jengo halikumbukwi kama makumbusho vile
 
Back
Top Bottom