Ndio hivyo wasomali na wageni kwa ujumla hasa wenye asilii ya asia, rwanda wamezidi sana Tanzania yaani siku hizi wamekuwa ndio wazawa wana uraia na passport na hata vyeti vya kuzaliwa yaani siyo shahada ya kuandikishwa uraia kusema labda aliomba uraia no, ni vyeti vya kuzaliwa na viswahili vyao vibovubovu ukichunguza muda wa vyeti vilipotelewa na walivyoingia nchini utashangaa sana na ndio wanaowanamiliki uchumi wa hii nchi. bado kidogo utasikia wachina watanzania, wanaongea kiswahili mbovumbovu na wanapaspot za Tanzania na hata vyeti vya kuzaliwa ukijachunguza sana utakuta au waliingia kujenga mabarara bara viwanja, biashara, wawekezji n.k. ndi Bongo yetu.
Cha ajabu haohao waliojazana hapa sina hakika kama ukienda ukienda kwenye nchi zao hutakuta Mtanzania amekuwa mchina, msomali, mhindi akiwa na uraia, passport n.k mpaka kuwa mbunge au waziri hivi kwa nini tusijiulize, nafikiri waliosema shamba la bibi hawakukosea.