Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wanandoa au wazinzi?
Kuna rafiki yangu anatafuta ushauri kwa nini mpenziwe wakimaliza kufanya mapenzi anaanza kulia saana halafu akiulizwa amekuwa hasemi nini kinamliza!!
Anajua amesababisha ambukizo la VVU
yote yanawezekana au ana cm17 ninimwana anakandamiza sana nini??
ama demu anajita kumpa jamaa tunda??
Sababu zinaweza kuwa nyingi.. Inawezekana akawa anapata kumbukumbu inayomhuzunisha, au anajutia alichofanya, au pengine kuna wasichana anakua na certain character inaitwa "drama queen" yaani anafanya vibweka tu vya ajabu ajabu bila sababu ya msingi!