Baada ya kumaliza tu mapenzi ameanza kuliaaaaaa!

Baada ya kumaliza tu mapenzi ameanza kuliaaaaaa!

HansMaja

Senior Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
104
Reaction score
124
Kuna rafiki yangu anatafuta ushauri kwa nini mpenziwe wakimaliza kufanya mapenzi anaanza kulia saana halafu akiulizwa amekuwa hasemi nini kinamliza!!
 
mwana anakandamiza sana nini??
ama demu anajita kumpa jamaa tunda??
 
anakuwa anaililia. je machzi yanadondoka? but hizo akili wanazo mademu wa kilokole, huwa wanajifanya eti wanajutia kosa walilofanya. yaani anataka mmewe amuone anamheshimu Mungu kumbe hamna kitu. je huyo demu mlokole?
 
Anamsikitikia jamaa anavyoondoka na madudu ya yale ugonjwa wa siku hizi.
 
ni wanandoa au wazinzi?

yaani umenivunja mbavu kwa jinsi uliyoiuliza? swali zuri kweli. ahay subiri hakujibu. maana amepata muda wa kuja kumuulizia rafiki yake mmhhh.
 
Kuna rafiki yangu anatafuta ushauri kwa nini mpenziwe wakimaliza kufanya mapenzi anaanza kulia saana halafu akiulizwa amekuwa hasemi nini kinamliza!!

Maswali kama haya muwe mnawaachia wahusika wenyewe, we hata tukikudadisi sana sana utatukwepa tu!!! Kama wewe ndie mhusika........ basi itapendeza kama utatufafanulia zaidi kuliko tuanze kuguess tu!!
 
labda mkishamaliza ye ndo anapata raha kuna raha zngnd znawakilishwa na machoz
 
Mm nahc yule n mgonjwa tayari so anapokuwa keshamaliza kumpkia jamaa bac anakuwa anamuonea huruma juu ya sumu aliyompa! Duh! Hebu mchukueni akachukue vpimo!
 
Anamuhurumia kwa kua anazidi kumpa miwaya aka migrid aka drum aka umeme aka ngoma aka minyenyere
 
Sababu zinaweza kuwa nyingi.. Inawezekana akawa anapata kumbukumbu inayomhuzunisha, au anajutia alichofanya, au pengine kuna wasichana anakua na certain character inaitwa "drama queen" yaani anafanya vibweka tu vya ajabu ajabu bila sababu ya msingi!
 
Amyner,hakuna lolote wala ckubaliani na hayo,yule n mgonjwa so wakapime tu,yeye pamoja n hicho kibovu chake!
 
Furaha ikizidi machozi hutoka. Utamuu huo. Hata watu wakiwa washindi wa tuzo fulani..hutokwa na machozi.
 
Back
Top Bottom