ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda.
Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti
Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu wameangukia Pua dhidi ya wagombea wa Mbowe akina Sugu na Wenje hivyo bwana Lissu amebakia mdogo kama pilitoni.
Natoa wito sasa kwa Sugu kugombea Uenyekiti wa Chadema Taifa Ili akabidhiwe Mikoba na Mbowe.
Makamu Mwenyekiti awe Mnyika na Katibu Mkuu awe Aida Kenan Mbunge wa Nkasi na mtoto wa Mwana CCM.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
My Take
Uwe na pesa harafu ushindwe na watembeza bakuli? Uliwahi ona wapi? 😂😂😂😂
View: https://twitter.com/TheRealJongwe/status/1795986266590224804?t=-2JRs4mBsZTgDlEMiew5fQ&s=19