Pre GE2025 Baada ya kumbwaga Msigwa, Sugu agombee uenyekiti wa CHADEMA Taifa kurithi Mikoba ya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
UWT WAPO KUPANGA NANI AWE MWENYEKITI
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda.

Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti

Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu wameangukia Pua dhidi ya wagombea wa Mbowe akina Sugu na Wenje hivyo bwana Lissu amebakia mdogo kama pilitoni.

Natoa wito sasa kwa Sugu kugombea Uenyekiti wa Chadema Taifa Ili akabidhiwe Mikoba na Mbowe.

Makamu Mwenyekiti awe Mnyika na Katibu Mkuu awe Aida Kenan Mbunge wa Nkasi na mtoto wa Mwana CCM.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1795878245394690371?t=Hagf2HaQWIfUD_ZAasXAtQ&s=19

My Take
Uwe na pesa harafu ushindwe na watembeza bakuli? Uliwahi ona wapi? 😂😂😂😂

CHADEMA MAAJABU YA BWAWA LA MWALIM NYERERE HAYA.
 
mwenyekiti wamaisha mnataka mumpe matatizo sugu acheni kabisa sumu haionjwi atapotea
 
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda.

Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti

Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu wameangukia Pua dhidi ya wagombea wa Mbowe akina Sugu na Wenje hivyo bwana Lissu amebakia mdogo kama pilitoni.

Natoa wito sasa kwa Sugu kugombea Uenyekiti wa Chadema Taifa Ili akabidhiwe Mikoba na Mbowe.

Makamu Mwenyekiti awe Mnyika na Katibu Mkuu awe Aida Kenan Mbunge wa Nkasi na mtoto wa Mwana CCM.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1795878245394690371?t=Hagf2HaQWIfUD_ZAasXAtQ&s=19

My Take
Uwe na pesa harafu ushindwe na watembeza bakuli? Uliwahi ona wapi? 😂😂😂😂

Chui amshauri swala jinsi ya kulinda na maadui

Adai anakerwa na ma wanyama wanao (predators) wanaowashambulia swala na ametoa wito atamsaidia swala kujilinda

Hivi ni kwa Nini Africa Kila jambo hutazamwa negatively

Bad wishes ni nyingi sana

Kwanini isiwe cdm wamechagua viongozi wazuri wataokaokiimarisha chama hatimaye kuleta mawazo mazuriya kuongoza nchi
 
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda.

Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti

Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu wameangukia Pua dhidi ya wagombea wa Mbowe akina Sugu na Wenje hivyo bwana Lissu amebakia mdogo kama pilitoni.

Natoa wito sasa kwa Sugu kugombea Uenyekiti wa Chadema Taifa Ili akabidhiwe Mikoba na Mbowe.

Makamu Mwenyekiti awe Mnyika na Katibu Mkuu awe Aida Kenan Mbunge wa Nkasi na mtoto wa Mwana CCM.

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

My Take
Uwe na pesa harafu ushindwe na watembeza bakuli? Uliwahi ona wapi? 😂😂😂😂

View: https://twitter.com/TheRealJongwe/status/1795986266590224804?t=-2JRs4mBsZTgDlEMiew5fQ&s=19

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1795878245394690371?t=WJkUoh6k96gsBr8mQI0EsQ&s=19
 
Aliwahi kusema viatu ni vikubwa mno mno kwake!
Unachosahau CDM sio chama cha kukurupuka kama uharo!
 
Back
Top Bottom