Pre GE2025 Baada ya kumbwaga Msigwa, Sugu agombee uenyekiti wa CHADEMA Taifa kurithi Mikoba ya Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda.

Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti

Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu wameangukia Pua dhidi ya wagombea wa Mbowe akina Sugu na Wenje hivyo bwana Lissu amebakia mdogo kama pilitoni.

Natoa wito sasa kwa Sugu kugombea Uenyekiti wa Chadema Taifa Ili akabidhiwe Mikoba na Mbowe.

Makamu Mwenyekiti awe Mnyika na Katibu Mkuu awe Aida Kenan Mbunge wa Nkasi na mtoto wa Mwana CCM.

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

My Take
Uwe na pesa harafu ushindwe na watembeza bakuli? Uliwahi ona wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://twitter.com/TheRealJongwe/status/1795986266590224804?t=-2JRs4mBsZTgDlEMiew5fQ&s=19
 
Ajabu na kweli yani kijani kabisaaa unatupangia safu unayoitaka wewe,mambo yetu tuachie wenyewe πŸ€”
 
Ajabu na kweli yani kijani kabisaaa unatupangia safu unayoitaka wewe,mambo yetu tuachie wenyewe πŸ€”
Ndivyo itakuwa, CCM ndio tunaamua sio waganga njaa wengine.

Kwamba Lisu atakuwa Rais wa Tanzania atamshinda Samia au? 😁😁😁
 
Imekaa sawa Dj na Mc mkongwe wote ni burudani wakiachiana kijiti!
 
wherever you see Pumbalu speaking, that is Tundu Lisu communicate to the puplic....

there is no way Pumbalu can speak for his own. all Tundu Lisu missions and projects are through this boy pumbalu
 
wherever you see Pumbalu speaking, that is Tundu Lisu communicate to the puplic....

there is no way Pumbalu can speak for his own. all Tundu Lisu missions and projects are through this boy pumbalu
Kina Lisu na wajinga wengine wanadhani Watanzania na wajumbe ni wajinga kwamba watauziwa maneno badala ya pesa mfukoni?

Kwa Tzn siasa ni kazi kama kazi zingine πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…