Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Ndio ikifika stage ya kuja kuleta mashtaka mtandaoni. Haipo.
Huu ushauri ambao kiria anautoa hapa angeweza utoa kwa mmewe wakiwa katika hali njema. Lakini kuutolea hapa ni kuongeza mafuta ndani ya moto unaowaka. Ili uzimike lazima fire waje.
 
du!!!
iyo ni kodi tuu vp ngekua naendesha gari yako? naona ungemtafta salm kikeke kabisa

mi kwangu yf ndo ananunua chakula sikuzote lkn hajawai kuntangaza
M ela angu nafanyia mambo mangine kwa faida ya family

ni kawaida kwe ndoa mbona

hahaha eti salim kikeke !ni kawaida ndio hatukatai lakii kuna wanaume wengine anakuwa anamtegea mke kwa kila kitu !yaan namanisha kila kitu !inafika kipindi mke anazidiwa utazan ni singo mama kumbe ameolewa ! tupigane tafu ndio lakini acheni ukitonga ! inakeraga pale mie najitoa kusaidia 90% we ukipata mshahara wako unachoona cha faida ni kulipia dstv tu !ili uchek mamipira yako !mxiew
 
Ndio ikifika stage ya kuja kuleta mashtaka mtandaoni. Haipo.
Huu ushauri ambao kiria anautoa hapa angeweza utoa kwa mmewe wakiwa katika hali njema. Lakini kuutolea hapa ni kuongeza mafuta ndani ya moto unaowaka. Ili uzimike lazima fire waje.
Khaaaah!! Ndio aliutoa sasa mume hakuuelewa, sasa yamemfika kaamua kuyamwaga maybe mtaongea na mwanaume mwenzenu ajirekebishe.
 
PAMOJA NA YOTE HAYO KUPIGA MKE ,MPENZI ,MTOTO WAKO NI UNYAMA AT ITS BEST,watanzania wengi tumezama mno kwenye mfumo dume unaomfanya ME ndio awe ni kila kitu ikiwemo kupiga,ni wakati sasa serikali itaanza kutekeleza sheria zake kuhusiana na GENDER ISSUES,tukubaliane kuwa watoto na wanawake wanaonewa mno ndani ya jamii yetu,na nimesikitika mno na mtoa mada ambaye bila shaka ni KE kumsifia ME huyu kwa kitendo kile cha kishezi alichokifanya kwa KE,ETI kipigo kitakatifu wakati huu ni unyanyasaji mkubwa,kupiga sio dawa ,UPENDO ndio ufumbuzi na ndio njia ya kwenda,taifa bora linajengwa kutokana na kuwa na familia zenye upendo.
 
Hg hadi star lazima ikuchanganye tu,siyo kosa lake Bali ni historia ya maisha yake.
 
Hivi Kamanda ametoa upande wa pili wa hili saga?
 
Hongera sana Joyce kwa kuanika your dirty laundry out in the open for every one to see. Job well done.
Aisee huwa kuna msemo kwamba akili ya beki 3 iko hivyo hivyo haiwez kubadilika Sasa nimeamini

Hivi Joyce kabla ya kuleta hii laundry basket yake nje afuliwe, alikagua kama kuna chupi, sidiria, vitambaa vya shughuli vitu ambavyo ni adhimu kwa mwanamke wa kiafrika kumtolea mtu amfulie?

Image is almost 37+ here she is crying for her own obligations hivi ameweza kuwa yangu mwanzo wangekwenda panga nyumba nzuri ya bei nafuu angrjipunguziaje mzigo

Haya kilewo kaka angu Leo ww mwanaume suruali kisa ulikosa ubungo. Hivi ungeupata mkeo Angelia hapa namna hii?

Kubwa kuliko yote damage aliyoiweka kwa watt wake no kubwa sana sana. Watafanyiwa bullying na wenzao, huyo baba atakuwa named Kila aina ys jina.

Sjui kwann kawa selfish kias hiki huyu mdada. Hivi anadhan mke ambaye analea familia kama baba ni yy peke yake? Wapo wanawake lukuki wa kitanzsnis wanatunza familia na wanaish very happy. Yy ana tafuta huruma za watu tuu. Apambsne na Hali yake, hilo jaribu ni saiz yake
 
PAMOJA NA YOTE HAYO KUPIGA MKE ,MPENZI ,MTOTO WAKO NI UNYAMA AT ITS BEST,watanzania wengi tumezama mno kwenye mfumo dume unaomfanya ME ndio awe ni kila kitu ikiwemo kupiga,ni wakati sasa serikali itaanza kutekeleza sheria zake kuhusiana na GENDER ISSUES,tukubaliane kuwa watoto na wanawake wanaonewa mno ndani ya jamii yetu,na nimesikitika mno na mtoa mada ambaye bila shaka ni KE kumsifia ME huyu kwa kitendo kile cha kishezi alichokifanya kwa KE,ETI kipigo kitakatifu wakati huu ni unyanyasaji mkubwa,kupiga sio dawa ,UPENDO ndio ufumbuzi na ndio njia ya kwenda,taifa bora linajengwa kutokana na kuwa na familia zenye upendo.
espy njoo umsome MWANAMUME HUYU !
 
Ukiamua kuishi na mtu basi uvumilie kwelikweli.

Wakati anakubali kuolewa alikuwa hajui kama huyo mumewe hawezi kulipa bills?! Na kama huyo mwanaume hafai kwann haachani nae atafute mwingine wa kulipa bills.

Wakati huyo jamaa anagombania ubunge mbona alikuwa hasemi haya yote sifa zilikuwa kedekede nw ndio jamaa kawa mbaya. Huyu kweli bado ana akili ya kibeki 3
BEKI 3 INDEED!!!!!!!
 
Wachagga nao watu basi
Miaka ya nyuma (90s) nikiwa Chuo nilipata mchumba wa kutoka pande hizo na tulipendana kwa dhati tukiwa na ndoto ya kuja kuishi maisha ya Mume na Mke hapo baadae. Wazazi wangu walikataa kukubali mahusiano yangu mimi na yule binti. Mpaka ikapelekea kuvunjika mahusiano yetu. Niliumia sana.
Ila nilipoanza maisha na kushuhudia yaliyomo, niliwaelewa sana wazazi wangu na kuwashukuru mno.
 
Me mwenyewe nilikuwa nashangaa kuona mwanaume kama kileo kuishi na mwanamke wa namna hile bila ata makofi mawili matatu,mfumo wa maisha anaotaka joice kiria haupo africa na ata ulaya mfumo huo ni sawa na haupo ndio maana single parents ni wengi.wanawake kama wakina joyce makofi kwao ni kawaida kabisa na ata jamii haikulaumu.
 
Back
Top Bottom