Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Waambie na waelewe hawa wanaume majina.Kuna utumwa mzito na fedheha,
iwapo mwanamke humlisha mumewe.
Yoshua Bin Sira 25:22
du!!!
iyo ni kodi tuu vp ngekua naendesha gari yako? naona ungemtafta salm kikeke kabisa
mi kwangu yf ndo ananunua chakula sikuzote lkn hajawai kuntangaza
M ela angu nafanyia mambo mangine kwa faida ya family
ni kawaida kwe ndoa mbona
Waambie na waelewe hawa wanaume majina.
Khaaaah!! Ndio aliutoa sasa mume hakuuelewa, sasa yamemfika kaamua kuyamwaga maybe mtaongea na mwanaume mwenzenu ajirekebishe.Ndio ikifika stage ya kuja kuleta mashtaka mtandaoni. Haipo.
Huu ushauri ambao kiria anautoa hapa angeweza utoa kwa mmewe wakiwa katika hali njema. Lakini kuutolea hapa ni kuongeza mafuta ndani ya moto unaowaka. Ili uzimike lazima fire waje.
Niitwe mara ngapi sasa mama, nishagaitwa kitaambo. Ukiwa hautaki ujinga wao unaitwa mwanaharakati, ila wao wakikataa ujinga wetu wanaitwa wanaume bora. Mfyuuuuuu!!!heheheheh !utaitwa mwanaharakati sasa hv
hahaahahhhhhhhhhUkikutana na Joyce mwenye akili mshukuru mungu..
Huyu ni sawa na Joyce wangu tuu kichwa maji
Niitwe mara ngapi sasa mama, nishagaitwa kitaambo. Ukiwa hautaki ujinga wao unaitwa mwanaharakati, ila wao wakikataa ujinga wetu wanaitwa wanaume bora. Mfyuuuuuu!!!
tehe tehe teheNaona wanawake Live imekuwa live kweli kweli.
Aisee huwa kuna msemo kwamba akili ya beki 3 iko hivyo hivyo haiwez kubadilika Sasa nimeaminiHongera sana Joyce kwa kuanika your dirty laundry out in the open for every one to see. Job well done.
espy njoo umsome MWANAMUME HUYU !PAMOJA NA YOTE HAYO KUPIGA MKE ,MPENZI ,MTOTO WAKO NI UNYAMA AT ITS BEST,watanzania wengi tumezama mno kwenye mfumo dume unaomfanya ME ndio awe ni kila kitu ikiwemo kupiga,ni wakati sasa serikali itaanza kutekeleza sheria zake kuhusiana na GENDER ISSUES,tukubaliane kuwa watoto na wanawake wanaonewa mno ndani ya jamii yetu,na nimesikitika mno na mtoa mada ambaye bila shaka ni KE kumsifia ME huyu kwa kitendo kile cha kishezi alichokifanya kwa KE,ETI kipigo kitakatifu wakati huu ni unyanyasaji mkubwa,kupiga sio dawa ,UPENDO ndio ufumbuzi na ndio njia ya kwenda,taifa bora linajengwa kutokana na kuwa na familia zenye upendo.
BEKI 3 INDEED!!!!!!!Ukiamua kuishi na mtu basi uvumilie kwelikweli.
Wakati anakubali kuolewa alikuwa hajui kama huyo mumewe hawezi kulipa bills?! Na kama huyo mwanaume hafai kwann haachani nae atafute mwingine wa kulipa bills.
Wakati huyo jamaa anagombania ubunge mbona alikuwa hasemi haya yote sifa zilikuwa kedekede nw ndio jamaa kawa mbaya. Huyu kweli bado ana akili ya kibeki 3
Miaka ya nyuma (90s) nikiwa Chuo nilipata mchumba wa kutoka pande hizo na tulipendana kwa dhati tukiwa na ndoto ya kuja kuishi maisha ya Mume na Mke hapo baadae. Wazazi wangu walikataa kukubali mahusiano yangu mimi na yule binti. Mpaka ikapelekea kuvunjika mahusiano yetu. Niliumia sana.Wachagga nao watu basi
Sio aishiwe tu bali auguwe uchizi kabisa ili tujuwe upendo wa mrs kwake [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ishiwa tujue tabia ya mkeo