Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nadhan wew ndo umeongea point.
 
Swadaqta.
 
Kiria tafadhali usiongelee mambo ya nyumbani kwenye public.utamfanya mumewako Henry akose nguvu za kupambana.kama alishindwa 2015 basi ni lazima tumpe moyo ili ashinde 2020.Joyce wewe sio mwanasiasa lakini mume wako ni mwanasiasa.hutakiwi uchangie chadema kwasababu mume wako yuko chadema ila unatakiwa kusema ukweli.kama unaogopa kazi zako zinapungukiwa kwasababu uko na kilewo usijali.ongea ukweli tu na viongozi wakuu watakusikiliza
 
Nitashangaa sn huyo mumewe akirudi kwenye hiyo nyumba baada ya hii video...elimu ni kitu kizuri sn jamani joyce angekuwa amefika hata form 4 asingweza kufanya haya
Mkuu na hii ndo maana suala la single mama halitaisha kama ndo wanawake wenyewe hawa wa kuweka hadharani mambo ya ndani.duuh asee kosea kujenga kweli na sio kuoa.
 
Ivi yupo yule mama!
 
Nanyi wanaume bwana!! Kwani hayo hakuyaona kabla? Mume kamtengeneza kuwa hivyo, alijijua hana uwezo ila akaruhusu hayo yote. Hivyo apambane alipe bills kama mkewe anavyotaka.
Kwa hiyo kwa sasa ndo wanawake mnavofundwa kuwa muwe mnayaanika madhaifu ya wenza wenu ktk mitandao eeh?
 
Angemkataa tangu mwanzo jamani. Ila makamanda pigeni kazi hata toroli jamani hizi aibu hizi
 
Best comment ever!!!!
 
hivi unapangishaje ghorofa la millioni kadhaa? bora nipange chumba kimoja nijenge hata mbagala huko.wadada wa mjini wana mashow off sana .kumbe wanateketea kwa ndani
Kodi ya mwaka tu tayari uwanja na vyumba viwili goba au mbezi msumi unapata,hakupaswa kuyaanika mambo binafsi mitandaoni hata wajukuu zake watakuja kuyaona.Ni mapito tu avumilie.
 


tunavitaka kiaje mkuu !mie hapa naongelea mwanamke alieolewa !sio hao wa kusema kisa men handsome !sio wanawake wote wanapenda mamen hb !wa kazi gan sasa! muache ukitonga jaman !its too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…