Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Joyce Kiria anawakilisha wanawake wapumbavu duniani? . Je, Kilewo anatudhalilisha wanaume!?

Ni kweli wanawake wengine ni stubborn si kidogo,. Na wengi ni nature yao. Mwanamke silaha yake kubwa ni "mdomo" narudia "mdomo ". Na ukimkanya kidogo (kwa kibao kidogo) hata cha huba atapiga kelele mithili ya kuku aliye taga kwa mara ya kwanza.

Katika mazingira hayo, wanaume wasio na busara na hekima zawadi pekee anayo weza mpatia mwanamke ni kipigo. Nasema atasema anamfunza adabu." Kosa"

Maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa mwanaume atabaki kuwa Kichwa cha familia ikisaidiana na mkewe kwa karibu. Km Kichwa cha nyumba baba yafaa uelewa tabia za mwanamke, na uishi nae kwa akili. Narudi kwa akili! Tofauti na hapo aibu itakuwa ya kwako hata kama kosa ni lake. Haitakuwa tofauti na unapo kuwa unaoga, halafu atokee kichaa abebe nguo zake, then uenze kumkimbiza. Matokeo yake ama wote mtaonekana viachaa au wanao kujua watajua wew ndiwe umerukwa na akili.

Wanawake wameumbwa na hisia kali "Emotional" ndio maana anaweza kukwambia nipige "uone! Na ukimtazama ni mtu ambaye hampo nae sawa kinguvu na ukimtia "kelb" moja ya kumfundisha adabu ataanza kupiga mayoweeee.. Ukimuacha atasema "una muogopa " Nini kifanyike, Wanaume ishini na wake zenu kwa akili.

Kuna wanawake wengine ni wagomvi wanawagombeza waume zao popote walipo, wanawatusi, wana wapiga wanaume, tena vipigo vikali si kidogo. Wengine huwa wanawafungia nje, na wakati mwingine huwatimua kabisa, ila maskini wanaume, wao machozi ya Samaki, maumivu ndani kwa ndani "Akisema sana atamwambia mshikaji wake wa karibu!
Na wanaume nanyi tokea, mbona wao mkiwapiga kiduchu, ni kelele mtaa mzima? That's fair?

Aidha, Wanaume wanao kutana na madhila hao ama ni :-
*wanaume wanao lishwa, na kutunzwa na na wanawake wanao jiweza kiuchumi "mamaz au dadaz" yaani kazi yao = msingi ni kiuno. Ujinga!

*Wanaume wasio timiza majukumu yao ya ndani ya "ndoa " Sasa hapa Kuna sababu kadhaa ama ni tatizo la kimaumbile, tatizo kiafya, au Uvivu tu. Hapa lazima mwanamke awashe moto ndani. "Ji-adjust"

*Au sababu nyingine ni mwanaume kukosa msimamo, yamkini mwanamke ana uchumi imara kuliko wew, ila ukisha poteza legitimacy ya kimawazo, kifikra na msimamo nyumbani. Usitegemee kuheshimiwa hata na wanaume wenzio uraiani.

Mwsho, siungi mkono udhalilishaji wa kumpiga mwanamke, ila hadi kufikia kiwango cha kumtwanga mwanamke ni ishara kuwa wew mwanaume huna na umekosa ushawishi, Mwanamke amesha jua udhaifu wako, amesha kuvuta katika level zake, hivyo anakufanya anavyo ona inafaa. Ndoa nyingi mno, huwa uwanja wa ugomvi na sababu kubwa ni mwanaume kutosimama katika nafasi yake.

Nini Maoni Yako?

Ndimi, Noel Shao
97a75c6f1f5e10f6c35adf58219c7237.jpg
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mwanamke inabidi uwe wa kwanza kujua Hali ya Kipato cha mumeo na uweze kuish kulingana na wakati Unajua Kabisa Hali ya mume wako ni tete Unakubali Kuish Vipi kwenye nyumba ya gharama kubwa, na Kama basi unauwezo WA kulipa basi usilalamike .

Hili ni tatizo la wanawake wengi hasa Kizazi cha Sasa,mwanaume uwezo wake kupanga chumba na varanda, yeye atataka nyumba nzima, akidai atalipa mambo yakimuwia magumu anaaza kulalama. Acha ya mkute.
Nadhan wew ndo umeongea point.
 
Naona wanawake live imemgeukia, sasa ni Joyce live...

Kila mmoja ana changamoto zake, anafikiri kila mtu akianza kulia kwenye mitandao patatosha???

Mwanaume unamtengeneza mwenyewe sasa kama alikuwa kamzoesha kuishi bure apambane na khali yake tuu!!!
Swadaqta.
 
Kiria tafadhali usiongelee mambo ya nyumbani kwenye public.utamfanya mumewako Henry akose nguvu za kupambana.kama alishindwa 2015 basi ni lazima tumpe moyo ili ashinde 2020.Joyce wewe sio mwanasiasa lakini mume wako ni mwanasiasa.hutakiwi uchangie chadema kwasababu mume wako yuko chadema ila unatakiwa kusema ukweli.kama unaogopa kazi zako zinapungukiwa kwasababu uko na kilewo usijali.ongea ukweli tu na viongozi wakuu watakusikiliza
 
Nitashangaa sn huyo mumewe akirudi kwenye hiyo nyumba baada ya hii video...elimu ni kitu kizuri sn jamani joyce angekuwa amefika hata form 4 asingweza kufanya haya
Mkuu na hii ndo maana suala la single mama halitaisha kama ndo wanawake wenyewe hawa wa kuweka hadharani mambo ya ndani.duuh asee kosea kujenga kweli na sio kuoa.
 
Nadhani kuna mahali tunasahau kumuliza huyo Joyce,
Je,ni tangu waoane mumewe hakuwa analipa kodi?
Kama jibu ni ndiyo,wakati wote hakuwahi kulalamika ni mpaka amepigwa,kwanini???
Kama alikuwa analipa,amebainisha sababu zilizopelekea kushindwa kuhimili kodi kwa sasa?
Tumesikia upande mmoja tu,si ajabu akija mumewe kuelezea uhalisia tutaishia kushangaa tu!
Baadhi ya wanawake ni Shida shida Shida!!!! Hasa wakiwa na kipato kuliko mume!!!
Hivi Flora Mbasha yupo wapi?????
Ivi yupo yule mama!
 
Nanyi wanaume bwana!! Kwani hayo hakuyaona kabla? Mume kamtengeneza kuwa hivyo, alijijua hana uwezo ila akaruhusu hayo yote. Hivyo apambane alipe bills kama mkewe anavyotaka.
Kwa hiyo kwa sasa ndo wanawake mnavofundwa kuwa muwe mnayaanika madhaifu ya wenza wenu ktk mitandao eeh?
 
Angemkataa tangu mwanzo jamani. Ila makamanda pigeni kazi hata toroli jamani hizi aibu hizi
 
Joyce Kiria anawakilisha wanawake wapumbavu duniani? . Je, Kilewo anatudhalilisha wanaume!?

Ni kweli wanawake wengine ni stubborn si kidogo,. Na wengi ni nature yao. Mwanamke silaha yake kubwa ni "mdomo" narudia "mdomo ". Na ukimkanya kidogo (kwa kibao kidogo) hata cha huba atapiga kelele mithili ya kuku aliye taga kwa mara ya kwanza.

Katika mazingira hayo, wanaume wasio na busara na hekima zawadi pekee anayo weza mpatia mwanamke ni kipigo. Nasema atasema anamfunza adabu." Kosa"

Maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa mwanaume atabaki kuwa Kichwa cha familia ikisaidiana na mkewe kwa karibu. Km Kichwa cha nyumba baba yafaa uelewa tabia za mwanamke, na uishi nae kwa akili. Narudi kwa akili! Tofauti na hapo aibu itakuwa ya kwako hata kama kosa ni lake. Haitakuwa tofauti na unapo kuwa unaoga, halafu atokee kichaa abebe nguo zake, then uenze kumkimbiza. Matokeo yake ama wote mtaonekana viachaa au wanao kujua watajua wew ndiwe umerukwa na akili.

Wanawake wameumbwa na hisia kali "Emotional" ndio maana anaweza kukwambia nipige "uone! Na ukimtazama ni mtu ambaye hampo nae sawa kinguvu na ukimtia "kelb" moja ya kumfundisha adabu ataanza kupiga mayoweeee.. Ukimuacha atasema "una muogopa " Nini kifanyike, Wanaume ishini na wake zenu kwa akili.

Kuna wanawake wengine ni wagomvi wanawagombeza waume zao popote walipo, wanawatusi, wana wapiga wanaume, tena vipigo vikali si kidogo. Wengine huwa wanawafungia nje, na wakati mwingine huwatimua kabisa, ila maskini wanaume, wao machozi ya Samaki, maumivu ndani kwa ndani "Akisema sana atamwambia mshikaji wake wa karibu!
Na wanaume nanyi tokea, mbona wao mkiwapiga kiduchu, ni kelele mtaa mzima? That's fair?

Aidha, Wanaume wanao kutana na madhila hao ama ni :-
*wanaume wanao lishwa, na kutunzwa na na wanawake wanao jiweza kiuchumi "mamaz au dadaz" yaani kazi yao = msingi ni kiuno. Ujinga!

*Wanaume wasio timiza majukumu yao ya ndani ya "ndoa " Sasa hapa Kuna sababu kadhaa ama ni tatizo la kimaumbile, tatizo kiafya, au Uvivu tu. Hapa lazima mwanamke awashe moto ndani. "Ji-adjust"

*Au sababu nyingine ni mwanaume kukosa msimamo, yamkini mwanamke ana uchumi imara kuliko wew, ila ukisha poteza legitimacy ya kimawazo, kifikra na msimamo nyumbani. Usitegemee kuheshimiwa hata na wanaume wenzio uraiani.

Mwsho, siungi mkono udhalilishaji wa kumpiga mwanamke, ila hadi kufikia kiwango cha kumtwanga mwanamke ni ishara kuwa wew mwanaume huna na umekosa ushawishi, Mwanamke amesha jua udhaifu wako, amesha kuvuta katika level zake, hivyo anakufanya anavyo ona inafaa. Ndoa nyingi mno, huwa uwanja wa ugomvi na sababu kubwa ni mwanaume kutosimama katika nafasi yake.

Nini Maoni Yako?

Ndimi, Noel Shao
97a75c6f1f5e10f6c35adf58219c7237.jpg
Best comment ever!!!!
 
hivi unapangishaje ghorofa la millioni kadhaa? bora nipange chumba kimoja nijenge hata mbagala huko.wadada wa mjini wana mashow off sana .kumbe wanateketea kwa ndani
Kodi ya mwaka tu tayari uwanja na vyumba viwili goba au mbezi msumi unapata,hakupaswa kuyaanika mambo binafsi mitandaoni hata wajukuu zake watakuja kuyaona.Ni mapito tu avumilie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] knakaukwel lkn!!! tabora knajamaa anajinaa tuu mjini ila wife ake ndo kilakitu had ela ya mafuta had nguo ila mkeake ndo umwambii kitu yani ni anampendaje...... (anasimamia stationary)
kisa et endisamu [emoji23][emoji23][emoji23] vitu vingine mnatakaga wenyewe lkn

nachukia alchofanya j kama vp aseme na sabab ya mkon'goli.....

tunavitaka kiaje mkuu !mie hapa naongelea mwanamke alieolewa !sio hao wa kusema kisa men handsome !sio wanawake wote wanapenda mamen hb !wa kazi gan sasa! muache ukitonga jaman !its too much
 
Back
Top Bottom