Yaani unaenda kupanga Nyumba ya ghirofa Mbezi beach badala ya kujenga? Stupid show off kumbe umepanga. Mbona hakuondoka kimyakimya? Amejiharibia na hata mwanaume wa ku date naye itakuwa ngumu. Sana sana ataishia kuchukuliwa na mariooos aka serengeti boy ili wamlie vipesa tu. Stupid upgraded housegirl. Hongera sana kwa kamanda Kileo kuwa silent. Huo ndiyo uanaume. Kileo jipange upya ila pia jitahidi uzalishe upate hela man maana familia kichwa maana inakuwa kichwa kwelikweli. To all men kupiga mke siyo solution kaa chini TAFAKARI na imeshindikana achaneni mapema ili kila mmoja akajipatie wake wa kumfaa.