Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Tatizo ni mwanaume, kichwa cha familia unashindwa vipi kusimama katika nafasi yako!!!
Dada unawajua wanawake type ya kina joyce kiria? Hao ni wadada wa mjini wanaotaka show off, kuna mda mwanaume ukishamjua mkeo wa aina gani unamuacha tu ili kuepusha shari, type ya kina joyce ni wale ambao huwa wanataka kushindana na mwanaume, usikute kamanda alishamawambia bwana mm siwez kulipa hzo bills za bei kali lakin mdada kutokana na ujeuri na kujiona yeye anaweza akasema ntalipa,, sasa yamemfika shingoni ndo anaanza kuongea pumba mtandaoni
 
Natamani nikupe no zake umpe huu ushauri live....ajione yuko uchi
 
Nitashangaa sn huyo mumewe akirudi kwenye hiyo nyumba baada ya hii video...elimu ni kitu kizuri sn jamani joyce angekuwa amefika hata form 4 asingweza kufanya haya
 
Nadhani kuna mahali tunasahau kumuliza huyo Joyce,
Je,ni tangu waoane mumewe hakuwa analipa kodi?
Kama jibu ni ndiyo,wakati wote hakuwahi kulalamika ni mpaka amepigwa,kwanini???
Kama alikuwa analipa,amebainisha sababu zilizopelekea kushindwa kuhimili kodi kwa sasa?
Tumesikia upande mmoja tu,si ajabu akija mumewe kuelezea uhalisia tutaishia kushangaa tu!
Baadhi ya wanawake ni Shida shida Shida!!!! Hasa wakiwa na kipato kuliko mume!!!
Hivi Flora Mbasha yupo wapi?????
 
Wanawake waache kuishi kwa kufuata mkumbo,inawezekana K alitaka wakakae Kitunda huko kila J akataka Mbezi beach.
 
Nanyi wanaume bwana!! Kwani hayo hakuyaona kabla? Mume kamtengeneza kuwa hivyo, alijijua hana uwezo ila akaruhusu hayo yote. Hivyo apambane alipe bills kama mkewe anavyotaka.
 
Wanawake waache kuishi kwa kufuata mkumbo,inawezekana K alitaka wakakae Kitunda huko kila J akataka Mbezi beach.
Kuna mambo mnalaumu wanawake bure tu, nyie ndio mnawatengeneza kuwa hivyo. Ukisharuhusu moja ruhusu tu na la pili.
 
Nitashangaa sn huyo mumewe akirudi kwenye hiyo nyumba baada ya hii video...elimu ni kitu kizuri sn jamani joyce angekuwa amefika hata form 4 asingweza kufanya haya
Mkuu me ndio maana nimeamua kuachana na madem walioishia hata form4. Ni mwendo chuo na kuendelea tu, wana stress za maisha sana hiyo types za Kiria
 
weka full video mbona ya dk 1 moja
 
Si anafundishaga wanawake wengine waachane na waume zao wanapopigwa pls tunaomba nae afanye kwa vitendo amuache mara moja.

Pili mbona polisi kuna dawati la Jinsia kwa nini aseme anamuachia Mungu mtandaoni badala ya kumshataki aliempiga ili awe real wanawake live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…