Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Tatizo ni mwanaume, kichwa cha familia unashindwa vipi kusimama katika nafasi yako!!!
Dada unawajua wanawake type ya kina joyce kiria? Hao ni wadada wa mjini wanaotaka show off, kuna mda mwanaume ukishamjua mkeo wa aina gani unamuacha tu ili kuepusha shari, type ya kina joyce ni wale ambao huwa wanataka kushindana na mwanaume, usikute kamanda alishamawambia bwana mm siwez kulipa hzo bills za bei kali lakin mdada kutokana na ujeuri na kujiona yeye anaweza akasema ntalipa,, sasa yamemfika shingoni ndo anaanza kuongea pumba mtandaoni
 
Naona wanawake live imemgeukia, sasa ni Joyce live...

Kila mmoja ana changamoto zake, anafikiri kila mtu akianza kulia kwenye mitandao patatosha???

Mwanaume unamtengeneza mwenyewe sasa kama alikuwa kamzoesha kuishi bure apambane na khali yake tuu!!!
Natamani nikupe no zake umpe huu ushauri live....ajione yuko uchi
 
Nitashangaa sn huyo mumewe akirudi kwenye hiyo nyumba baada ya hii video...elimu ni kitu kizuri sn jamani joyce angekuwa amefika hata form 4 asingweza kufanya haya
 
Nadhani kuna mahali tunasahau kumuliza huyo Joyce,
Je,ni tangu waoane mumewe hakuwa analipa kodi?
Kama jibu ni ndiyo,wakati wote hakuwahi kulalamika ni mpaka amepigwa,kwanini???
Kama alikuwa analipa,amebainisha sababu zilizopelekea kushindwa kuhimili kodi kwa sasa?
Tumesikia upande mmoja tu,si ajabu akija mumewe kuelezea uhalisia tutaishia kushangaa tu!
Baadhi ya wanawake ni Shida shida Shida!!!! Hasa wakiwa na kipato kuliko mume!!!
Hivi Flora Mbasha yupo wapi?????
 
Wanawake waache kuishi kwa kufuata mkumbo,inawezekana K alitaka wakakae Kitunda huko kila J akataka Mbezi beach.
 
Dada unawajua wanawake type ya kina joyce kiria? Hao ni wadada wa mjini wanaotaka show off, kuna mda mwanaume ukishamjua mkeo wa aina gani unamuacha tu ili kuepusha shari, type ya kina joyce ni wale ambao huwa wanataka kushindana na mwanaume, usikute kamanda alishamawambia bwana mm siwez kulipa hzo bills za bei kali lakin mdada kutokana na ujeuri na kujiona yeye anaweza akasema ntalipa,, sasa yamemfika shingoni ndo anaanza kuongea pumba mtandaoni
Nanyi wanaume bwana!! Kwani hayo hakuyaona kabla? Mume kamtengeneza kuwa hivyo, alijijua hana uwezo ila akaruhusu hayo yote. Hivyo apambane alipe bills kama mkewe anavyotaka.
 
Wanawake waache kuishi kwa kufuata mkumbo,inawezekana K alitaka wakakae Kitunda huko kila J akataka Mbezi beach.
Kuna mambo mnalaumu wanawake bure tu, nyie ndio mnawatengeneza kuwa hivyo. Ukisharuhusu moja ruhusu tu na la pili.
 
Nitashangaa sn huyo mumewe akirudi kwenye hiyo nyumba baada ya hii video...elimu ni kitu kizuri sn jamani joyce angekuwa amefika hata form 4 asingweza kufanya haya
Mkuu me ndio maana nimeamua kuachana na madem walioishia hata form4. Ni mwendo chuo na kuendelea tu, wana stress za maisha sana hiyo types za Kiria
 
naomba mods msidelete post yangu kisa nimemtaja mtu mkumbuke mwenyewe ndo kaweka mambo yao hadharani kwenye mitandao hapa tunamalizia tu mjadala.
binafsi sijawai kumkubali joyce kiria kiviile japo ana mambo ambayo huwa anafanya yana positive impact kwa jamii .ila kuna mahali huwa anajichanganya sana hadi mtu unajiuliza huyu mama vipi.
jana kapewa kichapo kitakatifu na mume wake ,yule jamaa handsome sana nadhani yule mwanamke alimpush to the limit.
anadai eti yeye mwanamke ndo analipa bills zote za familia hadi kodi ya nyumba.sasa nimetafakari japo mimi wala sijaligi mambo ya watu .huyu mwanamke anaishi nyumba ya kupanga mbezi beach tena ghorofa ,mi nilijua ni nyumba yao. anaishi maisha ya juu hasara kwa nani .alipishwe mwenyewe hizo bills
na nyie wanaume unaishije nyumbani hata sabuni hununui jamani? kweli ? acheni hizo makamanda .ndo maana mimi sipendi wanaume wa chadema bora wazee wa lumumba buku saba daily sio mbaya .
video akimchamba mume asielipa hata kodi ya nyumba

weka full video mbona ya dk 1 moja
 
Si anafundishaga wanawake wengine waachane na waume zao wanapopigwa pls tunaomba nae afanye kwa vitendo amuache mara moja.

Pili mbona polisi kuna dawati la Jinsia kwa nini aseme anamuachia Mungu mtandaoni badala ya kumshataki aliempiga ili awe real wanawake live
 
Back
Top Bottom