Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Huyo mdada ni punguani mbona wakati kamanda analipa hzo bills hakua anakuja kutangaza kwenye mitandao, ktu wasichokijua wanawake ni kwamba kuna siku mmeo ataishiwa na hiko ndo kipimo cha upendo.. Sasa kuja kumuanika kwenye mitandao ndo nin, akina dada wa sku hz sjui akili zao zipo wapi,

Wakat nakua nakumbuka mdingi aliyumba almost 2 years bi mkubwa anaamka saa 11 anachoma maandazi, saa 2 anachoma chapati naomba hela ya shule napewa na bi mkubwa, for 2 years, lakin hawa wa sasa hv ukikosa hela week tu utatombewa had na wauza karanga za sh. 50.
 
mkuu sipo unavofikiria sijaolewa wala sina hata boyfriend ila nachojua kila mtu kwenye ndoa ana wajibu wake
Ok apo sawa kwan samahani lkn tunajadili kitu tusichokijua ivi toka wajuane hao watu mwanamke alikua mlipa kodi kwan kipindi cha ubunge jamaa alikua anatumia hela na nani kwann matatizo yamekuja kipindi jamaa uchumi umeyumba na hakika hela nyingi ametumia mwanamke kwenye harakati zake mana alijibrand sana sasa naanza kuona sio superwoman tena tukumbuke nyuma pia sio leo tunaongelea wajibu kwa mume ila mume akuongelea wajibu kwa mke kipindi cha mke anazurula mikoani na dunia sa cjui alikua anatafuta atumie na nani yani we dada ata sheria ya dini yng ingeniruhus niwe na mke wa pili we ungesema uko tayar ningekataa mana ungekua ni family money laundry ningebaki empty alafu ungesepa ahahahahaha
 
Huyo mdada ni punguani mbona wakati kamanda analipa hzo bills hakua anakuja kutangaza kwenye mitandao, ktu wasichokijua wanawake ni kwamba kuna siku mmeo ataishiwa na hiko ndo kipimo cha upendo.. Sasa kuja kumuanika kwenye mitandao ndo nin, akina dada wa sku hz sjui akili zao zipo wapi,

Wakat nakua nakumbuka mdingi aliyumba almost 2 years bi mkubwa anaamka saa 11 anachoma maandazi, saa 2 anachoma chapati naomba hela ya shule napewa na bi mkubwa, for 2 years, lakin hawa wa sasa hv ukikosa hela week tu utatombewa had na wauza karanga za sh. 50.
bora utombe ufanye logistics za home kuliko kutangazwa dunia nzima jamani
 
mimi sishangai sana Joyce kupigwa..

nashangaa sana kamanda mkubwa wa chadema... kukosekana kwenye payroll ya chadema.. je kina nani wapo kwenye payroll kama kamanda mkubwa kama mume wa joyce hayupo...

Joyce alisherehekea Talaka na Dj nelly ambaye ndie aliemtoa kwenye u house girl....

so sishangai hata akimtukana mumewe mpya... na alivyo na bahati akiachika tu anaolewa tena.. huku kuna wanawake walifunga na kusali na ndoa hawajaipata maishani mwao yote
Unauwakika Hana payroll, pengine IPo lakini kwa matumizi anayohitaj huyo mke wake hayatoshelezi .
 
mimi sishangai sana Joyce kupigwa..

nashangaa sana kamanda mkubwa wa chadema... kukosekana kwenye payroll ya chadema.. je kina nani wapo kwenye payroll kama kamanda mkubwa kama mume wa joyce hayupo...

Joyce alisherehekea Talaka na Dj nelly ambaye ndie aliemtoa kwenye u house girl....

so sishangai hata akimtukana mumewe mpya... na alivyo na bahati akiachika tu anaolewa tena.. huku kuna wanawake walifunga na kusali na ndoa hawajaipata maishani mwao yote
Acha umbea Dada. Alokwambia Kilewo hana kazi ni nani? Njoo Victoria uone jamaa anafanya kazi wapi. Ila J ametaka maisha ya anasa na K hayataki

Musiba ni Msiba!
 
Eti wanawake live.....????KWA kuyaanika maisha yako ya ndoa hadharani?haustahili...na mume naye akianika ya kwake?j ajifikirie kama anamtafuta wa kumlipia kodi ya Nyumba tupo wengi ..lakin akubali udhaifu wangu wa kurud nimelewa usiku wa manane dairly....ajue kila kiumbe kina udhaifu wake...na kutokuwa na PESA sio udhaifu..ni upepo utapita..
 
Binafsi,nampongeza Kiria kwa kuendesha kipindi cha Wanawake Live.
Lakini nimeshangaa sana kuiona hii video yake hapo though anajiliza.Kwa hili ameteleza kwenye maeneo haya;
1.Ndoa ni privacy kwa zaidi ya 80%.Kwa hili hakupaswa kuyaweka hadharani kwa kuwa alichagua kuwa family mother.Ndoa zina mengi zaidi ya haya anayoyaeleza yeye.Kwa hili,ni dhahiri kwamba aidha hajafundwa au amekengeuka mafunzo ya makungwi wake.
2.Ameshindwa kusimamia kile anachokihubiri kwenye vipindi vyake.
Aidha,alipaswa atuambie juhudi alizozifanya kumsaidie mumewe kuweza kusimama na hivyo kuchangia pato la familia.
3.Ili tumwelewe,alipaswa aeleze mazuri pia ya mumewe ili tufanye justification ya hili.Otherwise, Joyce hajakomaa.
4.Kwa kuwa kosa lililosababisha apigwe hatujalijua,na ameamua kufunguka,basi angeeleza yote na siyo hivi alivyofanya.
Ushauri wangu kwa Joyce Kiria na wengine wote ambao tupo kwenye ndoa, lazima tufahamu kwamba ndoa ni taasisi kama zilivyo taasisi zingine.Hapa kuna misingi yake.Tujitahidi kuizingatia na kuisimamia kikamilifu.Moja ya misingi hiyo ni privacy. Usiri ni muhimu sana.Kuna mengi kwenye ndoa,mazuri na mabaya ambayo hatupaswi kuyaweka dhahiri.Ukiwaeleza wengine,unatengeneza mazingira ya udhaifu wako kudhihirika mbele yao.
Pia,kwenye suala la kiuchumi,hapa napo panahitaji kushikamana.Mwenye kipato kikubwa awe ni fursa ya kumuinua mwenza wake.Hali hii itamfanya kila mtu achangie pato la familia.
Mwisho, wanaume tujitahidi kuishi na wanawake kwa akili.Akili kivipi;
1.Kujiongeza na hivyo kutengeneza mbinu ya kuingiza chochote ili uweze kusaidia matumizi ya familia na shughuli nyingine za kimaendeleo.
2.Kutotumia maguvu kumkabili mwanamke.Hata kama una hasira kiasi gani,jitahidi kuwa calm ili mutafute means nyingine ya kusettle out hizo tofauti zenu.
Weekend njema.
 
Kunaitajika amendment kidogo kwenye mume/mke kwenye shida na raha napendekeza iwe kwenye raha tu shida kila mtu ana wazazi au mlezi ake aende na akaendelee na maisha yake mpk raha kwa pamoja irudi ndipo ndoa irudi
Itabidi basi na ile mwanaume atakula kwa jasho nayo ifanyiwe ammendment.
Yakiwafika ndio huwa mnaikumbuka hiyo kauli.
 
Ok apo sawa kwan samahani lkn tunajadili kitu tusichokijua ivi toka wajuane hao watu mwanamke alikua mlipa kodi kwan kipindi cha ubunge jamaa alikua anatumia hela na nani kwann matatizo yamekuja kipindi jamaa uchumi umeyumba na hakika hela nyingi ametumia mwanamke kwenye harakati zake mana alijibrand sana sasa naanza kuona sio superwoman tena tukumbuke nyuma pia sio leo tunaongelea wajibu kwa mume ila mume akuongelea wajibu kwa mke kipindi cha mke anazurula mikoani na dunia sa cjui alikua anatafuta atumie na nani yani we dada ata sheria ya dini yng ingeniruhus niwe na mke wa pili we ungesema uko tayar ningekataa mana ungekua ni family money laundry ningebaki empty alafu ungesepa ahahahahaha
Hivi kelewo asishawahi kuwa Mbunge wa wapi vile?
 
mijanaume inapenda lelewa sikuiziii
Bila wanawake dunia yani kungekua na ixo uduma zenu alaf zina zaa wanaume wote duniani wangekua matajir kwa akili yako ya kusema kulelewa na si kwel nyie mnapenda kupewa muda mwingi kuliko kuacha muda mwingi wa kutafuta ndo mana unataka kiben ili ukae nae muda wote tu anakubembeleza na mavitu kibao xikikata mnaanza kulia eti unamlea bila kujali muda wake aliopoteza kuwa na we karibu si angekua anatafuta maisha yake
 
Ndoa ni makubaliano na maelewano, dont be biased, something is wrong somewhere, alafu kuja kuweka kwenye social media maisha yake na mume wake inamsaidia nini? Haelewi kama hii sio solution? Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Ameamua kubomoa nyumba yake mwenyewe sasa kinachofuata ni maisha ya kudanga. Kuna taratibu za kufuata kama kuna tatizo kwenye ndoa but this is wrong approach, asifikiri ndoa za wengine hazina shida watu wanavumiliana tu. Familia ni mwanamke siku zote, tayari ameamua kubomoa ndoa yake. Hata hivyo akili ya huyu mwanamke huwa siikubali kabisa, ameshindwa kulia chumbani kwake akiwa na mume wake anakuja kulia mbele ya camera kama sio maigizo ni nini?? Stupid.
 
Back
Top Bottom