God is watchin' yhuHahaha sema ulichokusudia
Maisha ya kwao yanakuhusu nin....wew oa mke tengeneza family bora yako sio kusubr walizotwngeneza wenzako.Kabla Hujamuoa Fanya Uchunguzi Mkeo Mtarajiwa
anatokea Familia Gani na Wanafanya Nini..
Usikubali
tu akusimulie maana Kila Mtu anataka aonekane wa
Kishua, Utamsikia,
"MY MUM IS SO RICH DARR,SHE IS A DIRECTOR AT
BOT" Siku ya Send Off utashangaa unamfunua Bibi Harusi unakutana na Harufu ya Nyanya na Pilipili
Hoho, hapo ndo utajua Mama wa Bi Harusi ni MAMA
NTILIE MAARUFU, hamna cha BOT Wala MELI