Baada Ya Kumfunua Sasa..!

Baada Ya Kumfunua Sasa..!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kabla Hujamuoa Fanya Uchunguzi Mkeo Mtarajiwa
anatokea Familia Gani na Wanafanya Nini..
Usikubali
tu akusimulie maana Kila Mtu anataka aonekane wa
Kishua, Utamsikia,
"MY MUM IS SO RICH DARR,SHE IS A DIRECTOR AT
BOT" Siku ya Send Off utashangaa unamfunua Bibi Harusi unakutana na Harufu ya Nyanya na Pilipili
Hoho, hapo ndo utajua Mama wa Bi Harusi ni MAMA
NTILIE MAARUFU, hamna cha BOT Wala MELI
 
Harufu ya pilipili hoho???? Dah .....
 
Hahaha
STUNTER mi mwanamke ujue, af we ndo imetokea utuelew kabisa yani
Sema naisubiri io project
Hahaha Labda ndo nimeanza kuwaelewa kwa namna hii.... Wewe subiri tu
 
Kabla Hujamuoa Fanya Uchunguzi Mkeo Mtarajiwa
anatokea Familia Gani na Wanafanya Nini..
Usikubali
tu akusimulie maana Kila Mtu anataka aonekane wa
Kishua, Utamsikia,
"MY MUM IS SO RICH DARR,SHE IS A DIRECTOR AT
BOT" Siku ya Send Off utashangaa unamfunua Bibi Harusi unakutana na Harufu ya Nyanya na Pilipili
Hoho, hapo ndo utajua Mama wa Bi Harusi ni MAMA
NTILIE MAARUFU, hamna cha BOT Wala MELI
Maisha ya kwao yanakuhusu nin....wew oa mke tengeneza family bora yako sio kusubr walizotwngeneza wenzako.
 
Kwani mtu babake akiwa director wa BOT anakuwa anaonekanaje tofauti na wengine? Mbona kuna wanawake wana vihela vidogo tu ila wanakuwa wanapendeza unaweza dhani sijui wazazi wake ni wa kishua kumbe hamna kitu. Kupendeza ni akili tu na mipango, tuache mentality za kizamani kudhani kwamba mzazi akiwa director sijui wa BOT ndo mtu ataonekana ana shine
 
Back
Top Bottom