moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
UMEELEWA ALICHOANDIKA STUNTER...?Kwani mtu babake akiwa director wa BOT anakuwa anaonekanaje tofauti na wengine? Mbona kuna wanawake wana vihela vidogo tu ila wanakuwa wanapendeza unaweza dhani sijui wazazi wake ni wa kishua kumbe hamna kitu. Kupendeza ni akili tu na mipango, tuache mentality za kizamani kudhani kwamba mzazi akiwa director sijui wa BOT ndo mtu ataonekana ana shine
Wewe bado hujanielewaKwani mtu babake akiwa director wa BOT anakuwa anaonekanaje tofauti na wengine? Mbona kuna wanawake wana vihela vidogo tu ila wanakuwa wanapendeza unaweza dhani sijui wazazi wake ni wa kishua kumbe hamna kitu. Kupendeza ni akili tu na mipango, tuache mentality za kizamani kudhani kwamba mzazi akiwa director sijui wa BOT ndo mtu ataonekana ana shine
Mungu anakuona, hapo ndo utajua Mama wa Bi Harusi ni MAMA
NTILIE MAARUFU,