Baada Ya Kumfunua Sasa..!

Baada Ya Kumfunua Sasa..!

Kwani mtu babake akiwa director wa BOT anakuwa anaonekanaje tofauti na wengine? Mbona kuna wanawake wana vihela vidogo tu ila wanakuwa wanapendeza unaweza dhani sijui wazazi wake ni wa kishua kumbe hamna kitu. Kupendeza ni akili tu na mipango, tuache mentality za kizamani kudhani kwamba mzazi akiwa director sijui wa BOT ndo mtu ataonekana ana shine
UMEELEWA ALICHOANDIKA STUNTER...?
 
Wewe bado hujanielewa
 
Back
Top Bottom