Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Wakati tunaanza na kumpatia uhakika wa huduma alikuwa anatoa ushirikiano nzuri tu kunipatia sifa kedekede za 'uhandsome'. Leo, baada ya kuyafikia malengo yake kwa asilimia kubwa, amenizingua kwa kauli kama hiyo. Nimfanyie uhuni gani.
Nje ya mada; hivi miaka 40+ unaweza kumpata bint wa 2005 kuja juu?!!!
Nje ya mada; hivi miaka 40+ unaweza kumpata bint wa 2005 kuja juu?!!!