Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

Kubali matokeo Kaka. Ni Jambo la kawaida Sana, wewe si wa kwanza
 
Kipindi wewe unaona mke, huku ukizidi kuongeza mapenzi. Yeye alikuwa anaona fursa.
 
Tatizo wema wako uliambatana na kupiga K,
Kama ndivyo huenda naye anaamini ulimtumia sababu ya umaskini wake huku wewe ukijiaminisha mko pamoja ,

kilichomleta kwako ameshakipata ,what next,ametafuta maisha mengine ,inabidi ukubali maisha yaendelee,utakuwa umejifunza ,wakati mwingine hutafanya makosa
 
Kwahiyo ukamfundisha kukupenda? Kosa lilianzia hapo, kubali matokeo hupendwi wala hujawahi kupendwa na huyo opportunist
Akamfundisha kumpenda😀!
Unaanzaje kumfundisha mtu kukupenda jamani, mwamba anavuna alichokipanda.
 
Ukweli ambao wanawake hawausemi nki kuwa wanataka wanaume katili na wenye msimamo (yan ukinyanyua mkono kumpiga usiurudishe....nyoosha)

Na pia wengi wakijua unawapenda wanakudharau...ukiwajali hua hawaoni umuhim wako mpk utakpoacha...!!

Wakat wew unajifanya sharukhan...wenzio pemben wakajifanya mzee ashant

Achana nae....one day atakutafuta
 
Kama ni wa kwako atarudi, kama si wa kwako potezea. Na sio ndo ukae umsubiri. Fanya maisha yako jomba. Muache ajifunze na aone hayo anayoyafanya ni ya kawaida sana. Kama yana umuhimu kwake ataendelea nayo. Akiona wewe una umuhimu kwake atarudi.
Arudi akielekea wapi, huyo ni mbwa jike aka malaya apelekeshe ushitwani simshauri mtoa mada amsamehe hata mara moja hata ikiwa atalia machozi pipa 3! Wanawake wabinafsi na wanafiki ni nyoka!
 
Hapo mm ndio huwa nakuwaga tofauti kidogo na wengine. Kama ni wake, basi hataondoka. Kitendo cha kuondoka tu, huyo sio wake. Yani aende huko apelekewe moto weee, mambo yakiwa magumu ndio arudi tena kwa jamaa???
Mwanamke anayekupenda hawezi waza kukukimbia au kukusaliti! Wanaofanyaga hivi ni opportunistic bitches ambao wanaonaga the grass is greener on the other side licha ya support kiasi gani mtu unatoa na ku toil kwa ajili yake.
 
Kama ni wa kwako atarudi, kama si wa kwako potezea. Na sio ndo ukae umsubiri. Fanya maisha yako jomba. Muache ajifunze na aone hayo anayoyafanya ni ya kawaida sana. Kama yana umuhimu kwake ataendelea nayo. Akiona wewe una umuhimu kwake atarudi.
Huyo asirudi kabisa:

Amesaidiwa ila hajitambui , uzuri malipo ni hapa hapa chini ya jua, hako kajamaa alikokapata huko kwenye afya katamfanyia visa hadi akome..
Kaka yetu pambana na maisha yako wanawake wanaojielewa wapo tu na Mungu atakupa fungu lako.
Achana na huyo mpuuzi asiyejielewa.
 
Mwendee kwa wale jamaa wanaotumia bendera za rangi za timu moja kubwa hapa nchini.
 
Mwanamke anayekupenda hawezi waza kukukimbia au kukusaliti! Wanaofanyaga hivi ni opportunistic bitches ambao wanaonaga the grass is greener on the other side licha ya support kiasi gani mtu unatoa na ku toil kwa ajili yake.
Tatizo kuna wadau wanaendekeza sana misemo iliyopitwa na wakati. Eti kama wako, muache aende maana atarudi tu, hasiporudi jua hakuwa wako.

Mimi ukishaamua kunipiga chini ukasepa, jua hiyo ni one way journey like a sniper's bullet. Mambo yakikushinda huko, nenda katafute kwingine
 
Amnaga mambo za kurudi aisee, this for real man only!
 
Brother pole sana;
Jitahidi kutomfatilia mambo yake:
Usimtafute wala jiweke busy na mambo yako angalia future yako, ona kama ndo haijapangwa nyie kuwa pamoja! jipende vaa smart , wapo wengine wengi wazuri tu utawapata .
 
Kitendo cha kurudi ni kama vile anakuja kukupima ujinga tena.
Ukimpokea ndio anakuona zuzu pro max, yani mfumo ndio unakuwa huo na ukijichanganya kuzaa nae lazma akuingizie damu isio yako
 
Huenda ili mlazimu atulie ili afanikiwe akae na yule anae muona mtu katika maisha yake
 
Ukimpokea ndio anakuona zuzu pro max, yani mfumo ndio unakuwa huo na ukijichanganya kuzaa nae lazma akuingizie damu isio yako
Maumivu ya moyo yanamuda, then yanakata. Hebu mwambie jamaa ajishkilie vizuri, maisha yaende.

Kumbembeleza mtu ambae upande wa pili anamtumwingine kamchomeka kidole, utaishia kujibiwa ovyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…