Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,687
Ama kweli kuolewa kunazidi kuwa kama fashion. Mnamo mwaka 2012 Aunt Ezekiel aliolewa
kwa mbwembwe zote na kijana Sunday Del Monte na baadae kwenda kuishia nae huko Dubai.
Sunday wakati huo pesa ilikua si tatizo kwake na hata kukubali kuolewa na kijana yule ilikua ni
kufata pesa zake.

japo baadae aliwekwa kizuizini kutokana na kuishi huko Dubai Kinyume na sheria na hadi sasa
nasikia bado yuko nyuma ya Nondo akisubiria mwisho wa hatma yake. Baada ya sakata hilo aunt
Ezekiel aliamua Kuamua kurudi Bongo na kuendelea kula bata kama kawa kama dawa

Hivi sasa Mwigizaji huyo mashuhuri kapachikwa Mimba na inaedaiwa kuwa mimba hiyo ni ya mume
wa mume wa mtu. Habari za mimba hiyo alikua hataki zijulikane na alikua akijificha ficha sema ndio
wambea tukazinyaka.......Alikua anasema anatamani kupata mtoto sasa aliyokua anatamani yametimia.

Happy birthday Mama Kijacho, Picha hiyo jana kwenye birthday nadhani unaona mwenyewe

 

Attachments

  • 4.jpg
    58 KB · Views: 28,109
Hahahaaaaaa sio ya Mbuga zetu bana...... ikiwa hivyo

ingekuwa huge scandal..

Nilikuwa najaribu kufikiri maana kwenye picha akiwa na Mbunga zetu hakuwa na tumbo.

Bora hisiwe ya Mbuga zetu lakini...
 
mimba ya waziri wa wanyama anyesema obama anamtaka awe prezidaa wa haka ka nchi
 
Duh bado madaam muda wote huo effect hakuna tu au anatumia ndom tu peku haendi nn
 
Huyu ni mzee sugu kushika mimba n ngumu kapigana vita vingi sana kizazi kina sugu kila size y dushe kapitia kumpa mimba lazma utumie style hiyo 4×4 by far kma wheel y landrover

Aiseeee
 
Vigodoro vina faida mana hiyo mimba mpka kushka lazma alibinuka kizazi kikapanda juu ndio jamaa akatupiamo mana huyo bidada ni mzee sugu,domo nae inatakiwa ambinue madam ili nae apate mtoto

alitupiamo kalingiamo hahahahh i like this u known linarafiki zang kanda ya ziwa huwa wananiburudishamo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…