Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hawa wadada w mjini ni shida ukioa umeolea wanaume wenzako
Kuoa hawa wasanii ni kujitafutia matatizo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wadada w mjini ni shida ukioa umeolea wanaume wenzako
kumbe anashika mimba huyo?!!" ..........
Grand PA
kumbe anashika mimba huyo?!!" ..........
Grand PA
Huyo mume wa mtu hana jina jamani????
Samahani mi Mgeni mjini humu...mbuga zetu ndo muheshimiwa yupi huyo??🙈
Hawa wadada w mjini ni shida ukioa umeolea wanaume wenzako
Yani Msije mkasema ni Mimba ya Mbuga zetu!
Maana hii itakuwa Kali zaidi na Mbuga zetu atakuwa amejidhalilisha yeye na familia yake!
Mtu anaolewa kisa pesa ukifulia tu unalo... Aunt mwenyewe ashasema madanga ndio yanamuweka mjini sa hapo lazima awe na madanga ya kutosha..
Mtu anaolewa kisa pesa ukifulia tu unalo... Aunt mwenyewe ashasema madanga ndio yanamuweka mjini sa hapo lazima awe na madanga ya kutosha..
mimi nitakuwa wa mwisho kuamini,nahisi hicho ni kitambi cha bia na nyama chomaHakuna cha gauni wala nini ni mimba hiyo.........,
Kwa hiyo Mwenye mimba hajulikani? Bora afahamike mapema maana Mbuga zetu atabebeshwa mzigo"
mimi nitakuwa wa mwisho kuamini,nahisi hicho ni kitambi cha bia na nyama choma
Hapana, mbuga zetu mengine anavumishiwa. Ana mtoto mashalah miss Tanzania, mtoto wa brigedia, atahangaika kweli na hilo nungaembe gumegume linaloanika uchi wake kwenye mitandao kila kuchao! !!
Hapana,nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba mbuga zetu pamoja na majanga yake anaweza kuwa ndo baba kijacho! !!!
Duh bado madaam muda wote huo effect hakuna tu au anatumia ndom tu peku haendi nn
Siku utakapomuoma mtoto ndio utaamini.. hivi aunt unadhani ni wa kuvaa gauni la vile.... angevaa ka kitu kamembana kame shape umbo lote.. ila mimba..
Nenda kwenye page yake insta hapost picha yoyote full zote zinaishia kwenye manyonyo..
alikua hataki ijulikane sema ndio birthday na yenyewe aliitaka ya mbwembwe ndio ukaona hivyo. Halafu huoni tu mabadiliko aunt wa zaman na huyo mwenye mimba
Btw siku ukisha confirm usiache kuniambia.