Hujaungua m-"Diamond" kweli?
Nini sijaelewaaa
She mean mouth si unajua diamond ana mdomo................
ahaa ahaa jf raha sana.Jamani ni kweli hivi vinyweleo ni vya lemutuz?
Hakuna cha gauni wala nini ni mimba hiyo.........,
Haha haya wambea wenzangu mama Iyobo kapata mtoto wa kike. hongera aunt na Moze
cc Dinazarde Heaven on Earth
mtoto anaitwa nani??????//
Mapenzi pesa au ufundi?Ama kweli kuolewa kunazidi kuwa kama fashion. Mnamo mwaka 2012 Aunt Ezekiel aliolewa
kwa mbwembwe zote na kijana Sunday Del Monte na baadae kwenda kuishia nae huko Dubai.
Sunday wakati huo pesa ilikua si tatizo kwake na hata kukubali kuolewa na kijana yule ilikua ni
kufata pesa zake.
Cookie
Mimi sijui ni tomaso wa zama hizi... sijui kwa nini sitaki kuamini kuwa mtoto wa Aunty ni wa Mose..... sijui kwa nini tu. Ngoja nisubirie alama za misumari vijanjani
Nway hongera sana Aunty kwa kupata Cookie wako. MUNGU akukuzie.
Huyo mtoto atakua na akili za biskuti mana ukimwita mtoto tabu kweli maisha yke yanakua tabu tupu
Mapenzi pesa au ufundi?
Cookie
Sawa, nitakuwa nakuachiaga my monthly pay-check basi kwa condition uwe unaniachia ya nauli tu; unasemaje?! Na hiyo kesi, inahitaji maamuzi ya Mahakama ya Kadhi au Jaji ni wewe mwenyewe? Kama Jaji ni ww mwenyewe, I love that case... lakini hakuna cha mzee wa baraza wala karani; seuze wafuatiliaji!!!!Mapenzi PESA........ Ufundi peleka Veta
halafu wewe una kesi ya kujibu
Sawa, nitakuwa nakuachiaga my monthly pay-check basi kwa condition uwe unaniachia ya nauli tu; unasemaje?! Na hiyo kesi, inahitaji maamuzi ya Mahakama ya Kadhi au Jaji ni wewe mwenyewe? Kama Jaji ni ww mwenyewe, I love that case... lakini hakuna cha mzee wa baraza wala karani; seuze wafuatiliaji!!!!
kwii kwiiikwiii; yalah, yaani full raha! kumbe am sweet darling... bac, hata nauli usiniachie utachukua yoooote, si n'tatembea kwa miguu bhana! Jaji mi mwenyewe? Wewe si ndo unafungua mashitaka? Ndo nakuomba Jaji uwe wewe mwenyewe kwa sharti kwamba hakuna cha mzee wa baraza wala karani wa mahakama... hata mwendesha mashitaka haina haja, kesi inazungumzwa kwenye court chamber... mtuhumu na mtuhumiwa tu!hahaa ur such a sweet darling....... Hapo sikuachi abadani asilani
Kesi tafuta wakili kabisaaaaa........ ukiwa jaji mwenyewe utajipendelea wakati wa kutoa maamuzi