Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Shoga angu umeme kwetu umekatwa tokea asubuhi, simu imezima yani hapa natumia simu kimeo hiyo...nimekumiss hatari...

Na hapa ushakatika loo ni shidaa mbona, wanatulazimisha kulala mapema hawaaaa Tanesco
 
Hamna jukwaa lisilokuwa na shobo na mtu kama hili.Nahisi hata wasanii wanaliogopa.
 
Sio siri nilikua naumiaa unajua Mungu kaweka ile nafsi inakusuta kama umemkosea mwenzio,hata siku zile ulikua na hasira sana sikujisikia poa kabisaa,na Kantangaze sikumtumia pm kabisa basi nilijisikia vibaya nikaona huyu ngoja tu nimjibu hhhhaaaa
Basi toka wiki iliyopita nawaza nikuandikie pm nikasema hapana naandika hapa hapa,kwan tulichambana pm! !? Hhhhaaaa

Nakumbuka nikasema sasa hii niniii zamani ulikua unaniwekea picha,

Yashaisha mwambie msukuma maugomvi yalishaishaga.....,
Mie mwenyewe nna damu ya kisukuma usiulize kwa nani tuligombana jukwaani tunamalizana hapa hapa jukwaani huko kwa PM hakuna haja kwa kweli.....

Nilikua nimekasirika that day ila baada ya Ban nikasema nitakuignore kama sikuoni..ila sa hivi ni mention nitag sehem yoyote utakayoona kuna umbea wenye manufaa...

Tunachat na ID fake ila kuna bond fulani tunatengeneza na hizi hizi fake ID.. PEACE AND LOVE
 
Toka lini ukasikia WAMBEA wanakufaga na magonjwa ya ajabu ajabu kama kisukari,sijui presha,mara sijui moyo, unaanzaje kwanza? Maana sifa kubwa ya wambea sie HATUNA VINYONGO wala kuweka vitu moyoni kila kitu tunatoa moyoni, yani mimi hata unipe million sijui nisitoe umbea kwa kweli siwezi mtanisamehe, mimi sina kifua kabisa, na ndio maana siumwi magonjwa ya ajabu ajabu, napataje presha sijui mara stroke, vinatoka wapi wakati moyo wangu safi kabisa sijabeba chuki wala siri za kuniumiza moyo?? KAMA SIRI ZANGU TU NAZITOA ZAKO UNADHANI NITAZIWEKA WAPI?? mimi siwezi hayo mambo.

Ndo maana bi hindu, bi chau na mhogo mchungu wala hawanaga magonjwa sijui presha mara kisukari, maana wao midomo kutwa ipo juu kama dish la DSTV mioyo yao myeupe, masaa yote umbea, unajua umbea unaleta afya, na kufariji moyo

Hahahaaaa binamu umenigusaaa, yani hapo kwenye siri zangu zinanishinda ndo ntaweza kuzibeba zakoo...lol...Moyo wenyewe mdogo huu haufiki hata kilo moja, kisa cha kuubebesha mizigo ya siri nini? Nikiambiwa na mimi nasema nipunguze mizigo mie...akuu....

Nakumbuka nilipewa habari nikaambiwa usimwambie mama....khaaa nikaona mama anachelewa kurudi...nikampigia simu kabisaaaaa....halafu mama angu mwenyewe ana mdomo huyoo...alivyofika akaanza kuwachambia mlangoni...hahahaaaa....walibaki kuniangalia tu hawana hamu na mimi...lol....
 
Hiyo nakumbuka ukiwa mdogo halaf uambiwe kitu au usikie kitu unaona unachelewa kumwambia mama weeee,
 
Yashaisha mwambie msukuma maugomvi yalishaishaga.....,
Mie mwenyewe nna damu ya kisukuma usiulize kwa nani tuligombana jukwaani tunamalizana hapa hapa jukwaani huko kwa PM hakuna haja kwa kweli.....

Nilikua nimekasirika that day ila baada ya Ban nikasema nitakuignore kama sikuoni..ila sa hivi ni mention nitag sehem yoyote utakayoona kuna umbea wenye manufaa...

Tunachat na ID fake ila kuna bond fulani tunatengeneza na hizi hizi fake ID.. PEACE AND LOVE

Haya poa poaaaa Pamoja sanaaa:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
Hiyo nakumbuka ukiwa mdogo halaf uambiwe kitu au usikie kitu unaona unachelewa kumwambia mama weeee,

Umbea raha...ila nina shoga angu huyo mbea kiama...yani anafanya kazi Zanzibar, kaja juzi tu ila ana umbea wa mtaa mzima...hivyo hapa najiandaa niende kwao nikale ubuyu mie....!
 
Hhhhhhhaaaaa angalia asije kukufanyia umbea kua unaenda kwao asubuhi asubuhiiii
 
Najua sana kama yangu anayamwaga...hivyo nacheza nae kwa step....manake nlishawahi kumwambia kitu halafu nikakukuta mtaani...hahahaaaa ila ma mie yake nayamwaga vizuriii tu....inahuuuuu.....ndo ushost wa mjini babuuuu....
 
Hhhhhhhaaaaa mimi yale yangu ya moyoni hua sisemiii ng'ooo ntaongea tu yale ya kuchekesha na umbea wa juu juu hata tukisemana hayanipi aibu, mim nishapunguza marafiki hao marafiki mwisho wa siku wanakuchukulia mumeo
 
Back
Top Bottom