Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa nimekumbuka ile siku wewe na Kanitangaze ilikua balaaa
Kwi kwiiiii
Ya jogoo
Toka lini ukasikia WAMBEA wanakufaga na magonjwa ya ajabu ajabu kama kisukari,sijui presha,mara sijui moyo, unaanzaje kwanza? Maana sifa kubwa ya wambea sie HATUNA VINYONGO wala kuweka vitu moyoni kila kitu tunatoa moyoni, yani mimi hata unipe million sijui nisitoe umbea kwa kweli siwezi mtanisamehe, mimi sina kifua kabisa, na ndio maana siumwi magonjwa ya ajabu ajabu, napataje presha sijui mara stroke, vinatoka wapi wakati moyo wangu safi kabisa sijabeba chuki wala siri za kuniumiza moyo?? KAMA SIRI ZANGU TU NAZITOA ZAKO UNADHANI NITAZIWEKA WAPI?? mimi siwezi hayo mambo.
Ndo maana bi hindu, bi chau na mhogo mchungu wala hawanaga magonjwa sijui presha mara kisukari, maana wao midomo kutwa ipo juu kama dish la DSTV mioyo yao myeupe, masaa yote umbea, unajua umbea unaleta afya, na kufariji moyo

Kantangaze sijui aliibukiwa wapii, ,halaf kwa vile mi nilikua nishakosana na Heaven ilikua rahisi heaven kuamini mimi nimemtumia pm kantangaze kwa ile kauli ya kantangazee,Heaven ni mpole sana sema na ukweli tu
Halaf nishaona haya mambo ya kuchambana humu hayana maana maana hufaidiki na chochotee kile, sasa hivi sishabikii mtu akichambwa, maana mi ndio yalianzia huko kesi nikaibeba ujinga huuu
Halaf walimuiga warumi sasa hivi kila blog ni ubuyu tu au nae warumi aliiga sehemu etii
Cha muhimu mshasameheana maisha yasonge ila kiukweli ugomvi hauna maana kabisa maana wengi wetu hatujuani
Duh......noma sana!!Za kuambiwa unachanganya na zako, ila mimi naamini kama mdau huyo alivyosema.
Mmmmhhhh warumi atengeneze blog tu
Yaan kila nikiparudia mimi hoiii
Warumi umemfikisha hapaa
Heaven nilikukosea sana na mimi ndio kachokozii kwa kushabikia mambo yale yasiyonihusu,naomba unisamehe usibaki na kinyongo tusameheane vinyongo vyote tuvitupe kule hata majembe hugongana sembuse sie nisamehe shoga angu,ya moyoni haya sijaona haja kuandika pm japo ni machache lakini yana maana tusikae na vnyongo kwa mambo ya kijinga na kipuuzi,sawa my dia nipo nimepiga magoti huku nasubiri msamaha upitishwee
gumu ndo maana
Napita.....