Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Hahaa nimekumbuka ile siku wewe na Kanitangaze ilikua balaaa

Kantangaze sijui aliibukiwa wapii, ,halaf kwa vile mi nilikua nishakosana na Heaven ilikua rahisi heaven kuamini mimi nimemtumia pm kantangaze kwa ile kauli ya kantangazee,Heaven ni mpole sana sema na ukweli tu
Halaf nishaona haya mambo ya kuchambana humu hayana maana maana hufaidiki na chochotee kile, sasa hivi sishabikii mtu akichambwa, maana mi ndio yalianzia huko kesi nikaibeba ujinga huuu
 
Hahahahaha huwa neno hili ubuyu linanifanya nicheke kila muda nikilikumbuka ..daaa hakika warumi fundi!

Halaf walimuiga warumi sasa hivi kila blog ni ubuyu tu au nae warumi aliiga sehemu etii
 
Last edited by a moderator:
Toka lini ukasikia WAMBEA wanakufaga na magonjwa ya ajabu ajabu kama kisukari,sijui presha,mara sijui moyo, unaanzaje kwanza? Maana sifa kubwa ya wambea sie HATUNA VINYONGO wala kuweka vitu moyoni kila kitu tunatoa moyoni, yani mimi hata unipe million sijui nisitoe umbea kwa kweli siwezi mtanisamehe, mimi sina kifua kabisa, na ndio maana siumwi magonjwa ya ajabu ajabu, napataje presha sijui mara stroke, vinatoka wapi wakati moyo wangu safi kabisa sijabeba chuki wala siri za kuniumiza moyo?? KAMA SIRI ZANGU TU NAZITOA ZAKO UNADHANI NITAZIWEKA WAPI?? mimi siwezi hayo mambo.

Ndo maana bi hindu, bi chau na mhogo mchungu wala hawanaga magonjwa sijui presha mara kisukari, maana wao midomo kutwa ipo juu kama dish la DSTV mioyo yao myeupe, masaa yote umbea, unajua umbea unaleta afya, na kufariji moyo

Ahahahahahaha
Shikamoo warumi
 
Warumi kiboko hii et hata yako huwezi kuyatunza sembuse ya mwingine, binam umeua aiseeee
 
Kantangaze sijui aliibukiwa wapii, ,halaf kwa vile mi nilikua nishakosana na Heaven ilikua rahisi heaven kuamini mimi nimemtumia pm kantangaze kwa ile kauli ya kantangazee,Heaven ni mpole sana sema na ukweli tu
Halaf nishaona haya mambo ya kuchambana humu hayana maana maana hufaidiki na chochotee kile, sasa hivi sishabikii mtu akichambwa, maana mi ndio yalianzia huko kesi nikaibeba ujinga huuu

Cha muhimu mshasameheana maisha yasonge ila kiukweli ugomvi hauna maana kabisa maana wengi wetu hatujuani
 
Mmmmhhhh warumi atengeneze blog tu

Hahaha dar noma sana ... Siku nilipo taka kuvunjika mbavu na alipo anzisha mada na kuanza kusema kuwa duru za kiubuyu zinasema kuwa......." nilicheka sana nikaamini huyu jamaa ni mbunifu sana..tumezoea kusikia duru za siasa sasa leo tunaona Duru za kiubuyu nilicheka sana! Warumi fundi anapamba ili jukwaa!
 
Last edited by a moderator:
Yaan kila nikiparudia mimi hoiii
Warumi umemfikisha hapaa
Heaven nilikukosea sana na mimi ndio kachokozii kwa kushabikia mambo yale yasiyonihusu,naomba unisamehe usibaki na kinyongo tusameheane vinyongo vyote tuvitupe kule hata majembe hugongana sembuse sie nisamehe shoga angu,ya moyoni haya sijaona haja kuandika pm japo ni machache lakini yana maana tusikae na vnyongo kwa mambo ya kijinga na kipuuzi,sawa my dia nipo nimepiga magoti huku nasubiri msamaha upitishwee

Napita.....
 
Kantangaze sijui aliibukiwa wapii, ,halaf kwa vile mi nilikua nishakosana na Heaven ilikua rahisi heaven kuamini mimi nimemtumia pm kantangaze kwa ile kauli ya kantangazee,Heaven ni mpole sana sema na ukweli tu
Halaf nishaona haya mambo ya kuchambana humu hayana maana maana hufaidiki na chochotee kile, sasa hivi sishabikii mtu akichambwa, maana mi ndio yalianzia huko kesi nikaibeba ujinga huuu

nikuambie kitu
kua km mimi
mtu akipanda we shuka
afu mi siwezi kupaniki kwa fake id
na akianzisha comment na mkoti pia
maisha mafupi haya
 
nikuambie kitu
kua km mimi
mtu akipanda we shuka
afu mi siwezi kupaniki kwa fake id
na akianzisha comment na mkoti pia
maisha mafupi haya

Hujachokozwa wewe geni Kim nana nimekumiss ujuee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom