Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Yaan kila nikiparudia mimi hoiii
Warumi umemfikisha hapaa
Heaven nilikukosea sana na mimi ndio kachokozii kwa kushabikia mambo yale yasiyonihusu,naomba unisamehe usibaki na kinyongo tusameheane vinyongo vyote tuvitupe kule hata majembe hugongana sembuse sie nisamehe shoga angu,ya moyoni haya sijaona haja kuandika pm japo ni machache lakini yana maana tusikae na vnyongo kwa mambo ya kijinga na kipuuzi,sawa my dia nipo nimepiga magoti huku nasubiri msamaha upitishwee
Msukuma kwa goti hiyo ni kawaida mie naomba uweke kichwa chini miguu juu kwa dakika kumi nitakuja hapo kwako kuhakikisha kama umefanya hivyo na tena uwe unalia nakulia maana msamaha bila chozi hauendi kabisaaaa.....lol.Usijali heaven ninayemfahamu atakuwa ameishakusamehe kitambo akikataa kukusamehe uniambie nikamfungulie kesi maana ninamdai keki yangu mpaka leo hajanipa