Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

kumbe anashika mimba huyo?!!" ..........

Grand PA
 
Mtu anaolewa kisa pesa ukifulia tu unalo... Aunt mwenyewe ashasema madanga ndio yanamuweka mjini sa hapo lazima awe na madanga ya kutosha..

Kwa hiyo Mwenye mimba hajulikani? Bora afahamike mapema maana Mbuga zetu atabebeshwa mzigo"
 
Kwa hiyo Mwenye mimba hajulikani? Bora afahamike mapema maana Mbuga zetu atabebeshwa mzigo"

Hapana, mbuga zetu mengine anavumishiwa. Ana mtoto mashalah miss Tanzania, mtoto wa brigedia, atahangaika kweli na hilo nungaembe gumegume linaloanika uchi wake kwenye mitandao kila kuchao! !!
Hapana,nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba mbuga zetu pamoja na majanga yake anaweza kuwa ndo baba kijacho! !!!
 
mimi nitakuwa wa mwisho kuamini,nahisi hicho ni kitambi cha bia na nyama choma

Siku utakapomuoma mtoto ndio utaamini.. hivi aunt unadhani ni wa kuvaa gauni la vile.... angevaa ka kitu kamembana kame shape umbo lote.. ila mimba..

Nenda kwenye page yake insta hapost picha yoyote full zote zinaishia kwenye manyonyo..
alikua hataki ijulikane sema ndio birthday na yenyewe aliitaka ya mbwembwe ndio ukaona hivyo. Halafu huoni tu mabadiliko aunt wa zaman na huyo mwenye mimba

Btw siku ukisha confirm usiache kuniambia.
 

Mwenye mimba sio huyo mbuga zetu....
 

Na anapost picha za wajawazito tu recently
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…