Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Hhhhhaaahhhaa, mpaka nimepaliwa hii kwa hiyo sisi wambea tutaishi miaka miaa nimecheka aiseee
Ahsante kwa kunivunja mbavu toka asubuhi leo sijacheka warumi njoo ucheke na wewe ROBERT MICHAEL ukuje huku

Wambea tuna miaka mingi.. jana nilivyosoma kwenye mwananchi nimechekaje nimepiga na picha ikae kwenye file langu.

Kwahiyo wala hakuna kuacha
 
Last edited by a moderator:
Wambea tuna miaka mingi.. jana nilivyosoma kwenye mwananchi nimechekaje nimepiga na picha ikae kwenye file langu.

Kwahiyo wala hakuna kuacha

CC: warumi....uchonge mkongojo kabisaaaa...Miaka 120 inakuhusu...
 
Wambea hatunaga stress wala ugonjwa wa MOYO, tunapataje kwanza? Wakati mioyo yetu myeupe kama theluji, hatuna duku duku maana hatuwezagi kukaa na kitu moyoni, tusiishi miaka mingi mchezo??

Mimi napenda umbea, wewe je? Bado hujachelewa nafasi bado zipo
 
Last edited by a moderator:
CC: warumi....uchonge mkongojo kabisaaaa...Miaka 120 inakuhusu...

Toka lini ukasikia WAMBEA wanakufaga na magonjwa ya ajabu ajabu kama kisukari,sijui presha,mara sijui moyo, unaanzaje kwanza? Maana sifa kubwa ya wambea sie HATUNA VINYONGO wala kuweka vitu moyoni kila kitu tunatoa moyoni, yani mimi hata unipe million sijui nisitoe umbea kwa kweli siwezi mtanisamehe, mimi sina kifua kabisa, na ndio maana siumwi magonjwa ya ajabu ajabu, napataje presha sijui mara stroke, vinatoka wapi wakati moyo wangu safi kabisa sijabeba chuki wala siri za kuniumiza moyo?? KAMA SIRI ZANGU TU NAZITOA ZAKO UNADHANI NITAZIWEKA WAPI?? mimi siwezi hayo mambo.

Ndo maana bi hindu, bi chau na mhogo mchungu wala hawanaga magonjwa sijui presha mara kisukari, maana wao midomo kutwa ipo juu kama dish la DSTV mioyo yao myeupe, masaa yote umbea, unajua umbea unaleta afya, na kufariji moyo
 
Last edited by a moderator:
Wambea tuna miaka mingi.. jana nilivyosoma kwenye mwananchi nimechekaje nimepiga na picha ikae kwenye file langu.

Kwahiyo wala hakuna kuacha

Yaan kila nikiparudia mimi hoiii
Warumi umemfikisha hapaa
Heaven nilikukosea sana na mimi ndio kachokozii kwa kushabikia mambo yale yasiyonihusu,naomba unisamehe usibaki na kinyongo tusameheane vinyongo vyote tuvitupe kule hata majembe hugongana sembuse sie nisamehe shoga angu,ya moyoni haya sijaona haja kuandika pm japo ni machache lakini yana maana tusikae na vnyongo kwa mambo ya kijinga na kipuuzi,sawa my dia nipo nimepiga magoti huku nasubiri msamaha upitishwee
 
uungwana huu shoga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…