Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Huko chimbo lenu hukooo π€ π€ π€GSM na Hersi watoke hadharani kukanusha tuhuma na madai ya Fei dhidi yao, mbna mie sioni km kuna ugumu wa hao kufanya hivyo.
Wao ndio wanatakiwa kulimalizaa hili.
NB: kuna siku kabwili aliwahi sema kule chimbo iko wakati wataumbukaa, hata ichelewee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usinichekeshee mie hapa. Wakimaliza kuipambania hiyo team, watoke hadharani kujibu tuhuma na mdai dhidi yao.GSM na Eng wako zao Algeria wakiipambania timu kujaza vikombe na medali, hawana muda wa kijibu pumba za anayefundishwa cha kuongea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akuuuuh, wanajuana wao wenye bifu wanaparuana mitandaoni. WoiiiiiiihHahahaha, mnajuana eeeh, waumbuke tu
Uduguu kuna mengii, ngojaa kwani sakata liishee afu tutawekaa sawaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko chimbo lenu hukooo [emoji851] [emoji851] [emoji851]
Tunasubiri one and two kutoka kwako Cocaa πUduguu kuna mengii, ngojaa kwani sakata liishee afu tutawekaa sawaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbna pambeeee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stay tunedTunasubiri one and two kutoka kwako Cocaa [emoji38]
NimekubanduaStupid.
ππππNamba 5 hiyo popoma uwepo sijui una busara π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Namba 7 wanaolishikia bango ni madunduka wenzako, ukiwemo popoma. TUKANA UONE na hivi ni Mara moja, tutaghechana tuπ€
Exactly. Dogo ni mhuni kila yanga inapokua na mechi kubwa lazima aibuke. Simba hajawahi kushinda ligi bila fitina. This time around kakutana na visiki vya mpingo.Naomba niseme haya sio maono ni hisia tuu kama za mwanamke mwenye mimba kwa mumewe.
Sakata la Feisal sio kubwa kama linavyopambwa, mi naamini Injinia hana tatizo na mchezaji kiasi hicho na hata hivyo yupo karibu sana na wachezaji wetu.
Feisal anatumika kuihujumu club ya Yanga kwa kujua ama kutokujua na wale ambao wamejaribu wakati wa ligi ikashindikana.
Club pinzani ya Simba ilihitaji point sita tuu ili aweze kuwa sambamba na Yanga ambaye alikuwa anaongoza ligi.
Mechi na azam ilikuwa kubwa sana, kijana Feisal alikuwa tegemeo kwenye kikosi sasa akatumika kuihujumu Yanga ili apoteze hiyo mechi , ikumbukwe alitoka kupoteza mechi na IHefu hivyo kwa vyovyote vile fitina za mpira zilitumika.
Yanga ilisimama imara, angalia hata bao alilofunga Mayele dhidi ya Azam alivyolishangalia. Kwa sasa tukimaliza michezo yetu yote tukawa kama Simba ambao wanazurura tuu kwa sasa tutaanza kufuatilia hizi kesi.
Kuhusu kutoka hadharani kwa viongozi wa Yanga ili kujibu tuhuma, mi nadhani kukaa kimya kwa sasa ndio jibu zuri zaidi kwa sababu neno lolote atakalotoa Garib au Hersy ni dhahabu kwa wanahabari uchwara. [emoji123][emoji123]
Sio mshikilie mwiko huko nyuma kama kawaida yenu tangu 1935?Ni tahira na mpuuzi ndiye anayeweza kusapoti utahira wa huyo kijana, eti hana tatizo na Yanga wala hana tatizo la maslah bali ana tatizo la manyanyaso?.
Mwanzo wa sakata hili alitoka hadharani na kusema ameomba kuborehewa maslah yanga wakakataa, alisema hawezi kurudi yanga saizi anasema anaweza kurudi endapo Hersi ataondo! Huyu kijana amekuwa mpuuzi kiasi hiki?. Anashinda na Rais?, Kwenye mkataba Jana anasema ameongezewa mwaka mmoj wakati mkatab halisi ni miaka 2? Hivi siku anasaini huu mkataba kwani yanga hawakutoka hadharani na kusema ni mkataba wa miaka 4? Alikuwa wapi kwa kipindi chote kudai kuongeza mkataba pasina makubaliano?.
Kama mkataba wake unahusisha miaka miwili na sio 3 au 4 inayosemwa anachokifanya saizi chakutaka kuvunja mkataba anavunja mkataba upi asiyoutambua?, Kwanini asipeleke malalamiko ya kuongezewa muda wa mkataba na apeleke ombi la kuvunja mkataba?. Kupitia mahojiano ya jana hakuna mtu mwenye akili timamu asiyeendeshwa na mihemko akawa upande wake hata waliokuwa wanamsapoti wameona aibu wao.
Yanga shikilia mpini tuone mwisho wa upuuzi wake.