Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

- Yanga na Feisal walikuwa na makubaliano kimkataba ndio maana suala lao lilikuwepo TFF kwa ajili ya maamuzi.

- Naweza kuthibitisha TFF wanaibeba Yanga kwasababu wamekuwa na maamuzi yenye mashaka kwenye hili suala, na walishawabeba tena kabla kwenye kesi ya Hersi na Manara, ambayo mpaka leo bado haijatolewa maamuzi [precedence].

- Hata kama siwezi kunakili, TFF kimsingi wanatakiwa kwenye maamuzi yao waoneshe kipengele cha mkataba ambacho Fei alikivunja mpaka waseme ni mchezaji halali wa Yanga, lakini hawajawahi kufanya hivyo zaidi ya maneno matupu, suala la kisheria lazima lije na majibu ya kisheria, sio porojo kama zako, sijui unanielewa?!

- Usiseme sina uelewa wakisheria wakati hao TFF wenyewe hawafuati sheria na taratibu, najua nisemacho; hili shauri la Fei mwanzo TFF walikuja na taarifa nusu nusu kama ya jana, wakadai wangekuja na taarifa kamili, lakini hawakuwahi kufanya hivyo, zaidi ya danadana zao za kila siku, proceedings za TFF ni za hovyo zilizojaa ubabaishaji wa hali ya juu.

- Naamini huko CAS ndipo anapoelekea, TFF hawana weledi wa kuamua mashauri kama haya, dawa yao mpaka iwe suala linalohusu Yanga vs Simba, lakini kwa individual players TFF wanatumika kukandamiza haki za mchezaji.

- Hakuna popote nimetaka kuoneshwa mkataba, nachotaka TFF waseme, wanapodai Fei ni mchezaji halali wa Yanga watuambie wamefanya hivyo kwa kunukuu vipengele gani alivyovunja kwenye mkataba husika, hili tumeona likifanyika sehemu nyingi, hata kule mahakamani unapojitutumua unazijua taratibu zao, wacha usshabiki maandazi.
 
Ahsanteeeeeeeeh waje wajibu tena, sio kwa madini unayotoa.
 
Ahsanteeeeeeeeh waje wajibu tena, sio kwa madini unayotoa.
Hao ni mashabiki maandazi tu.

Umeshawahi kuona wapi mahakamani inasomwa hukumu nusu, halafu nusu nyingine watu wanaambiwa watamaliziwa jumatatu?[emoji848][emoji848]

Huu ujinga ni utopolo peke yao ndio watakaouamini, na wanaushangilia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
watu wa visiwani ni wa hovyo sana. kwao maneno ni muhimu kuliko facts
 
Mmh 😒Cut story Shot:-"Yahitaji Akili kubwa sana kutambua kuwa Walio andika mkataba hawakuwai kuwa Vichaa wala Aliesaini hakuwahi kuwa Kipofu wala zoezi la kusaini Contract halikufanyika Kwenye Giza"📌🔨
 
Contract ni mutual agreement.

Mpaka unakubali kusaini mkataba wenye thamani ya milioni 4 kwa mwezi tafsiri yake ni kua hio ndio thamani yako na ndio umeikubali.

Habari za kuanza kulia lia sijui eti unanyonywa,sijui eti thamani yako sio ya milioni 4 huo ni utoto ni upumbavu.

Kama aliona kua thamani yake sio ya milioni 4 kwanini alikubali kusaini mkataba?.

Au zile terms of contract hakuzisoma vizurii na kuzielewa.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
 
Kwni simba azam na wengine mnawalipa kiasi gani maana kuna mambo humu aache unyumbu
 
Hakuna kocha wala mchezaji amewahi kutoka utopolo akaacha kulalamika au kuwashitaki kabisa
 
[emoji2] Ni tofauti zetu tu za ushabiki mara nyingi ndizo zimekuwa zikitugawa.

Ila tuko pamoja. Wewe ni kati ya mashabiki halisi. Maana huwa tunaishia kwenye kutaniana tu.
Huna hulka ya kutukana watu hovyo kama wale wavuta bangi wengine.
Ahahahaaa....! We jamaaa. Akina nani sca nani yule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…