Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

Nakuelewa kidogo ,Ila ukakasi upo hapa tu ,why vilabu vina power ya kuvunja mkataba wa mchezaji muda wowote wakiona hawajaridhishwa na kiwango chake?
Hiyo Sheria sijui kanuni mbona km imeegemea upande mmoja?
Mifano ipo mingi tu ya vilabu kumvunjia mkataba mchezaji hata Kama yeye hakutaka kuondoka kwa muda huo Ila vilabu vinakua na power Sana had wachezaji wanajikuta wanaondoka bila kupenda.
Naomba elimu juu ya hili.
Mchezaji anaweza kugoma na kusubiri mpaka mkataba wake uishe mf Sanchez alikuwa Man na alikuwa anakula Pounds 500K kwa week ndani ya miaka 5,Man walitaka kumuuza kwingine akakataa sababu hasingepata mshahara kama ule kwingine akakomaa Man mpaka mkataba ulivyoisha. Akaamsha zake ila Man wakawa walimtoa kwa mkopo atleast timu aendayo wasaidiane kwenye kumlipa mshahara Sanchez.
 
Ni mzawa gani amewah thaminiwa kwenye hivi vilabu ?
Why vilabu vina power ya kumvunjia mchezaji mkataba hasa club isiporidhishwa na kiwango Cha mchezaji Ila mchezaji kuvunja mkataba inakua ngumu?
Hilo swali unaweza kulijibu mwenyewe bila hata kuuliza, Sasa kama mchezaji anavunjiwa mkataba na ananyamaza ulitaka nani ampelekee shauri lake kwenye mamlaka za haki? Sheria sio mazoea eti kwakuwa fulan alivunja sheria akaachwa basi wewe siku ukivunja uachwe.
 
Ml 4 ukoo mzima una taka mgao una tegemea nini .ukute Wapemba wote wame amishia watoto kwake awasomeshe [emoji81][emoji81][emoji81]
 
Ingekuwa vema Yanga na TFF na Feiasal pia waweke mkataba hadharani tuone wakina Feisal waliporubuniwa kama wanasimamia huruma nje ya mkataba basi wamefeli....vinginevyo wanaonewa na Yanga+TFF na Bodi ya Ligi.
Muuone ili iweje? Mkataba ni siri kati ya walioingia. Wengine wote hatuna haki ya kuuona.

Amandla...
 
Nakuelewa kidogo ,Ila ukakasi upo hapa tu ,why vilabu vina power ya kuvunja mkataba wa mchezaji muda wowote wakiona hawajaridhishwa na kiwango chake?
Hiyo Sheria sijui kanuni mbona km imeegemea upande mmoja?
Mifano ipo mingi tu ya vilabu kumvunjia mkataba mchezaji hata Kama yeye hakutaka kuondoka kwa muda huo Ila vilabu vinakua na power Sana had wachezaji wanajikuta wanaondoka bila kupenda.
Naomba elimu juu ya hili.
Ok, nimejipa kazi ya kukuelewesha mkuu.

Ni rahisi kwa club kuvunja mkataba na mchezaji kwa sababu wanakua hawamuhitaji tena kuitumikia team yao. Kama hamuhitaji, maan yake hana nafasi ya kucheza.

Mchezo wa mpira huwa unaathiriwa kwa kiasi kikubwa na umri wa mchezaji. Ndio maana inakua rahisi kwa wachezaji kukubali kuondoka/kuvunjiwa mkataba ili waende sehemu nyingine ambayo watapata nafasi ya kucheza.

Lakini pia kwenye kuvunja mkataba wa mchezaji, huwa hawamtimui tu kienyeji. Huwa analipwa fidia nzuri tu. Mara nyingi huwa wanapewa asilimia kubwa ya mshahara wa muda uliokua umebakia kwenye mkataba wao.

Ndio maana huwa inakua rahisikwa club kuuvunja mkataba. Kuliko kubaki kwenye team ambayo hauchezi, ni nafuu kuchukua pesa then ukatafute team nyingine ambayo itakupa nafasi ya kucheza. Wachezaji wanajua, kadri wanavyopata muda mchache zaidi wa kucheza, ndivyo thamani yao inavyozidi kushuka.
 
Kuna watu hawapo serious! Yaani mshahara wa milioni 4 anaona ni mdogo! na wakati

Imagine timu nzima ya Majimani Fc ilikosa milioni 1 tu ya kuwawezesha kusafiri kutoka Dar, kwenda Songea!! Hadi wakapata msaada kutoka kwa Erasto Nyoni mwenye asili ya huko!!

Mama amekosa kabisa hekima kwa kushindwa kumshauri mtoto wake kuto kuchezea kazi inayomuweka mjini, kwa kurubuniwa na matapeli.

Ugari wa sukari umemchanganya😃😃😜
 
Umemaliza kila kitu
 
Nilisikiliza rais wa Yanga katika mahojiano fulani akisema kuwa Fei toto hajamaliza mkataba ule aliosaini alipotoka Singida wakati hata hajulikani na wala hakuwa star wakati huo, na Yanga bado ilikuwa inatembeza bakuli ikiwa haina pesa za kutosha kabla ya GSM kuwekeza.. Angesubiri akamaliza mkataba huo, tayari Yanga walikuwa wameshaanza mchakato wa kuboresha mkataba wake kwa vile kiwango chake kimepanda. Nikaelewa swala la mkataba.

Lakini vile vile akasema kuwa Fei toto anajulikana leo ni pamoja kuwa amekuwa ni mchezaji wa Yanga ambayo imempa platform na pia Yanga imemwekea mwalimu anayemfundisha mara zote hizo. Kwa hiyo ubora huo siyo one sided bali ni two sided. Nilichoelewa ni kwa waswahili tunapenda shortcut na hivyo kuharibu credibility yetu kwani hata kama kuna timu ya nje ilikuwa inamfikiria, inaweza kushtuka kuwa huyu siyo mtu wa kutumainiwa kwani anaweza kugoma kucheza wakati wowote.

Sheria za FIFA zinazuia matukio kama haya ya fei toto wakati wa msimu, kwani hayaendelezi mchezo wa mpira bali yanachangia kudumaza.
 
Mpira WA miguu ni mchezo mchazaji anakuwa active mdani ya muda mfupi kati ya miaka 18-30 hapo. Na umri unavyozidi kwenda unaweza kushangaa unajikuta timu za hovyo.

Wachezaji wote duniani wanapokuwa kwenye form ndio muda WA kuongeza maslahi yako.

Kwako wewe milion 4 ni nyingi Ila Kwa kiwango cha Faisal na nature ya KAZI yake kuwa ya muda mfupi ni hela ndogo hiyo. Pale Yanga kuna wachezaji wanalipwa zaidi ya hiyo hela na wanakaa benchi (Mfano Makambo)
Alisign mkataba ni muhimu kutekeleza masharti ya mkataba wake bila kujali hayo unayoyasema sijui performance na umri.
Mkataba hauvunjwi hovyo, afuate taratibu.
Kama aliona hiyo 4m ni ndogo why alisign? Si angeenda huko kwenye maslahi mazuri zaidi. Hii ishu fei kachemka vibaya sana.
 
Poor reasoning kwaiyo kama kuna watu wanalipwa laki 5 na yeye ndo asiseme mshahara mdogo. Angalia value ya kile mtu anacho fanya sio kufananisha mshahara na watu wengine. Kuna watu wanalipwa million 10 na bado wanalalamika mshahara mdogo.

Back to the topic Feisal anahaki ya kulalamika it doesn't matter ametumia njia gani he's fighting for his life akilkosa maslahi mazuri kesho mkamkuta amechakaa nyie nyie ndo mtakae msema vibaya

Hili jambo ni lakuweka hisia pembeni na kuangalia uhalisia zaidi
uhalisia upi kwenye jambo la kisheria? Tatizo la wengi mnaangalia ubora wa anachokifanya lakini hamuangalii kuwa aliekubaliana na hicho kiasi na kusign mkataba ni nani. Cha msingi angeomba maboresho ya mkataba wake, wasipoboresha asiongeze muda angoje mkataba wake uishe awe huru.
 
Kuna mashoga wawili Binti Kazumari na Wilson Oruma... Saahiz wapo kimya wameishiwa maneno walidhan Yanga itashindwa... Mama yake feisal asipoangalia ataishia kuliwa na vijana hapa mjini tupate connection zake... Akae atulie mambo ya mjini hayawez mpira ni kama siasa tu, ukijifanya mjuaji utakutana na wahuni
 
Binafsi sikuwahi kuwaamini viongozi na wanasheria wa Yanga kwenye suala zima la mgogoro wa kimkataba na Feisal Salum kwa wasababu ya historia mbovu ya mikataba na wachezaji ambayo Yanga wamekuwa nayo.

Lakini baada ya kumsikiliza mama yake Feisal nimejiridhisha kuwa kuna watu kwa makusudi na mslahi yao binafsi walitumia mwanya wa uelewa mdogo wa mambo ya kisheria kuwaaminisha kuwa Feitoto anadhulumiwa na Yanga.

Ukimsikiliza mama anarudia rudia tu kusema eti mwanae(Feisal) kadhulumiwa sana na Yanga, sheria itende haki inakuaje mwanae alipwe milioni 4? Anasema Feitoto ana majukumu mengi ya kusomesha ndugu zake n.k. Najiuliza wakati Feisal anasaini mkataba mpya kutoka mil1.6 hadi 4.7 mama alikuwa wapi kumpambania mwanae ili asaini dili nono litakaloendana na thamani wanayodhani anastahili? Leo inakuaje aone hizo mil.4 ni ndogo na mwanae anadhulumiwa? Je kuna pesa yoyote ambayo Feitoto alistahili kulipwa na mwajiri wake na hakulipwa? Hata mimi ambae si mwanasheria sioni hoja yoyote ya msingi.

Ndio maana watu wengi wanaomtakia mema mchezaji wameshauri mara kadhaa familia na mchezaji mwenyewe warudi wakae mezani wazungumze na uongozi wa Yanga ili wayamalize kifamilia na kiundugu kuliko hiki kinachoendelea. Feitoto na Familia nzima wanapaswa kujua sheria haitambui huruma, ila huruma inaweza kupatikana kupitia vikao suruhishi endapo watakaa na kuzungumza km familia.

Narudia tena Familia imerubuniwa.
Kwani kweli TFF wameshindwa kufuatilia mtu an watu wanaocheza mchezo huo?
 
Ugari wa sukari umemchanganya😃😃😜
View attachment 2535434
Huyu mama ndiyo chanzo namba moja cha kumpotosha huyu dogo. Mzazi muelewa, angemshauri mtoto wake kuvumilia hizo changamoto (kama kweli zilikuwepo) huku akiendelea kucheza mpira kwa kiwango chake kile kile cha juu!

Halafu baada ya mkataba wake kuisha mwakani, angewatosa Yanga, na kwenda huko kwenye maslahi mazuri. Kinyume na hapo, angewakomalia Yanga waweke mezani mzigo wa kueleweka, ndipo angesaini mkataba mpya.
Ila kwa haya maamuzi ya kipuuzi waliyoyafanya, hakika yanasikitisha sana.

Maana kuna watu mamilioni ya watu duniani wanafanya kazi huku wakiwa hawana mahaba nayo! Lakini wanaendelea kupambana kila siku, ili mkono uende kinywani.
 
waswahili husema mtaka yote daima hukosa yote.

Hao waliomrubuni wako sasa hivi. Kadri anavyokaa nje ya uwanja ndivyo thamani yake na uwezo wake unazidi kushuka.

Itafikiwa wakati hili sakata litaisha lakini na yeye atakuwa keshaisha pia.
 
Et milion 4 ndogo , huyu mama anachekesha aisee [emoji16] anyway wacha apambane apate hyo million 15 per month
Tafuta Hela,

Mil 4 ni nyingi kwako,kwa wengine ni pesa ya mafuta tu .......
 
Kuna watu hawapo serious! Yaani mshahara wa milioni 4 anaona ni mdogo! na wakati

Imagine timu nzima ya Majimani Fc ilikosa milioni 1 tu ya kuwawezesha kusafiri kutoka Dar, kwenda Songea!! Hadi wakapata msaada kutoka kwa Erasto Nyoni mwenye asili ya huko!!

Mama amekosa kabisa hekima kwa kushindwa kumshauri mtoto wake kuto kuchezea kazi inayomuweka mjini, kwa kurubuniwa na matapeli.
Nyingi kwako mkuu,kuna waziri mmoja alisema mil 10 ni pesa ya mboga tu...maisha hubadilika kulingana na hadhi,mazingira na majukumu, kwa mfano wewe hapo unaweza kuiona nyingi kutegemeana na mazimgira yako,majukumu yako na hadhi yako....

Tafuta Hela.
 
Back
Top Bottom