Uchaguzi 2020 Baada ya kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo, nimejiridhisha ni mgombea dhaifu zaidi awamu hii

Uchaguzi 2020 Baada ya kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo, nimejiridhisha ni mgombea dhaifu zaidi awamu hii

Ili tukuelewe tuweke hotuba yake tuisikie wenyewe,na kazi ya kutafsiri tulifanyie wenyewe.
Ili kupata tafsiri nzuri,
hatuna sababu ya kutumia kichwa yako
 
Magufuli 2015 to 2025

Wa kushindana Wapo, Ila wa kushinda ni M4C = Magufuli for Change
 
Umemaliza, ana hasira mbaya sana itakayomgharimu zaidi ya kile alichopata vilevile ana umimi so hafai kuwa kiongozi.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nashauri vyombo vya dola viendelee kumpuuza kabisa, kuchukua hatua dhidi yake nikimpa kick, siku hazigandi kwani tarehe 28/10/2020 ni keshokutwa tu hapo.
 
Kibatali cha zamani, kilichochoka hata kikijifaragua namna gani, huishia kutoa joto na moshi mwingi, badala ya mwanga. Ndio nyie Lumumba.
Mwangalieni 'yesu wa burigi' anavyohanjahanja kugawa mihela ndio utajua kishindo cha Lissu aliyeinuka baada ya kuraruriwa na marisasi 36.

Mwaka atatafuna mahindi,karanga,mihogo,korosho,ufuta yaani kampeni zitamuwea ngumu sana mwisho wa siku atatumia NEC,Polisi,TISS na JWTZ ili aweze kumalizia miaka mitano iliyobaki.
 
Kitu muhimu ni kwamba watanzania washampuuza Lissu kitambo sana.
 
Nadhani unasubiri kupata comments nyingi za matusi. Wewe Kama ulikuwa makini kumsikiliza mume wa wanaompinga kwa Nini ukataze na wenzako
 
Back
Top Bottom