Baada ya kumtema Penny...Diamond na Wema watangaza Ndoa

Baada ya kumtema Penny...Diamond na Wema watangaza Ndoa

ndo maana nkasema angalau...Happy new year Heaven on Earth

K lyn mwenyewe anatembea na kibabu R.Mengi
 

Attachments

  • 1388731401161.jpg
    1388731401161.jpg
    76.2 KB · Views: 385
Amekamata fursa akaenda zake. Watu wanaangalia maisha utabaki hivyo hivyo anatoka na kibabu anatoka na kibabu,yake yanamuendea,

acha umbulula we mmasai siku utapoibiwa na kibabu ndo utalijua jiji na vitongoji vyake
 
Mapunda yatasaidiana mzigo wa bwana ufike salama....Umoja ni nguvu!
Halafu haya huwa hayakamatwi yana zali mwe!
 
wema2.jpg


Hatakama kusoma hujasoma, basi hata picha pia huioni kua Hawa watu wapo in LOVE!!. Tuwasaidieni waishi maisha yao ya furaha, na sio kuwachanganya kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom