Rais wa Mbeya hatimaye amewapa go ahead vijana wa mawingu baada ya kumuomba Sana wafanye fiesta kwenye nchi yake, Habari zinasema mtu wa kwanza kuonana na rais huyo alikuwa ni general manager WA tigo ambaye alienda mara tano bila mafanikio Kabla ya Ruge kutumia wazee wa Mbeya kumshawishi ambapo Ambapo alikuba ila kwa Sharti Moja la kupitia mkataba wa kila msanii kuhakikisha kuwa hamna unyonyaji utakaotokea katika ardhi ya Mbeya.
Mdau wa sanaa nini maoni yako kuhusu hatua hii ya Sugu