Baada ya kumuomba Sana, hatimaye Sugu karuhusu fiesta kufanyika Mbeya

Baada ya kumuomba Sana, hatimaye Sugu karuhusu fiesta kufanyika Mbeya

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Rais wa Mbeya hatimaye amewapa go ahead vijana wa mawingu baada ya kumuomba Sana wafanye fiesta kwenye nchi yake, Habari zinasema mtu wa kwanza kuonana na rais huyo alikuwa ni general manager WA tigo ambaye alienda mara tano bila mafanikio Kabla ya Ruge kutumia wazee wa Mbeya kumshawishi ambapo Ambapo alikuba ila kwa Sharti Moja la kupitia mkataba wa kila msanii kuhakikisha kuwa hamna unyonyaji utakaotokea katika ardhi ya Mbeya.
Mdau wa sanaa nini maoni yako kuhusu hatua hii ya Sugu
 
Sidhani kama RC na RPC wakishakubali Sugu anaweza kuwa kikwazo tena, na suala la mikataba ya wasanii hii ni siri baina ya mlipaji na mlipwaji.
 
Hivi fiesta inasaidia nn? Zaidi ya kuharibu miundombinu ya viwanja vya soka
 
Sugu vita yake na Clouds ni wazi kuwa alishindwa na kwa sasa hawezi kuongea chochote dhidi yao zaid zaid ni mwenzao tuu
 
Back
Top Bottom