Baada ya kumwagana na Meek Mill,huyu ndiye mpenzi mpya wa Nicki Minaj

Baada ya kumwagana na Meek Mill,huyu ndiye mpenzi mpya wa Nicki Minaj

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
kenneth-petty-nicki-minaj.jpg


Rapa wa kike Nicki Minaj ametumia ukurasa wake wa Instagram kumtambulisha mpenzi wake mpya, Keneth Petty Mwenye umri wa miaka 40, baada ya wiki kadhaa nyuma (Nov 25) kuonekana na mwanaume huyo na kukawa na tetesi kwamba wawili hao wapo pamoja.

44615382_2531567373524925_8607014941015059435_n-1024x1024.jpg


Nicki Minaj ameonekana anayoo furaha katika mahusiano yake mapya kwani alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ametimiza miaka 36, siku ya jumamos Disemba 8, akiwa na marafiki zake pamoja na boy wake mpya.
45307315_2011024582279267_6751698212062778330_n-1024x1024.jpg


Nicki Minaj kipindi cha nyuma alikuwa na mahusiano na rapper mwenzake kutoka pande hizo za Philadelphia, ‘Meek Mill’ na baadaye Januari 5 mwaka huu waliachana.
46081688_617303522035301_3202451939982124531_n-822x1024.jpg



Picha kibao za Nicki Minaj akiwa na Boyfriend wake mpya ‘Keneth Petty’ zipo hapo chini.
46399767_1956931317935149_5850071838294122129_n-1024x1024.jpg
46707726_2360184420721201_193036548031785874_n-819x1024.jpg
 
Bloggers in a frenzy, truck to the Bentley

Ain't doin' no interviews, I'm busy, nigga we
litty »

So when you see me out don't ask me about
no Nicki

Meek Mill - 1942 flows.
 
Dah msela amefaidi kusema kweli, Nicki ana very soft ass kwa macho tu linaonesha. Huyu bidada ndio favorite musician wangu, Nyimbo zake zote ninazo kwenye Hifadhi yangu, Japo siijui hata nyimbo yake mmoja mimi namtizama yeye tu na Tako lake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

Hivi karibuni kaachia kimoja, Nishaitizama mara zaidi ya 30 mpaka sasa. dah kuna maeneo yupo majini Dah !!!!!
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Kumbe mastaa wote akili zafananaeehh!!?

Like Bongo Like Trump..
 
Tako limejaa Silicon.

Ila tunasema HAIKATAI.
 
Back
Top Bottom