Baada ya kunikula kanichunia

Baada ya kunikula kanichunia

ushaliwa kaa kimya kwan ulipokua unabana ulitarakiabukimpabmtua itatoa asali. hapo we sema ukweli kakutana na harufu hajazipenda kwann arudi tena wakat atanukishwa harufu za mizoga

Ukizoea vya kufedhesha eeh
 
.
Usimvulie mwanaume nguo kabla ya ndoa, kuna sababu kwanini Mungu aliagiza usizini kabla ya ndoa.
.
Iko hivi, wanaume tuna hali ya kukinai tukishakuchojoa nguo, ndio kinachokutokea sasa. Sasa kama hakuwa na lengo la kuwa na wewe, imekula kwako.

Mnatuchanganya

Na asilimia1 wanaoana hawajavuana nguo
 
Sijawahi sikia mwanamke anasema wazi wazi eti katolewa bikira na mwanaume fulani, hiyo haipo, kwa maneno yako makali hivi, iko wazi ww ni mwanamke mzoefu na unatoa mbususu sana tu siajabu hadi tigo, psychologically, bikira hawezi kabisa kunena haya ulioandika, ww ni kungwi wa kubanduana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni Jf mkuu sio Facebook
 
Kuna shida moja tu itakuwa imemfanya jamaa akuache. Baada ya sex ukaanza kujaa upepo unazungumzia ndoa tu, ukaanza kumuongelesha mambo ya ndoa. Kwa mwanaume hiyo ni kama anataka kuuziwa kitu kibovu kwenye box.
Nikushauri kitu acha kulalamika na kuanza kutuma meseji za lawama kwamba amekukula haoneshi uelekeo wa kukuoa na hasemi anatakuja lini kujitambulisha kwenu.
Mdomo baada ya sex ni kama vile 'Malaya' amemuuzia uchi wake. Unataka akuoe haraka haraka kwa sababu tu umemvulia nguo,wanaume hatuko hivyo.
Kwa sasa acha kulalamika na kutuma meseji za malalamiko. Tulia kabisa kama vile hakuna kilichotokea na usitumie namba nyingine kumtafuta kwa sababu najua unafanya hivyo. Baada ya utulivu wa muda mrefu na kama vile kumuondoa kichwani basi huyo jamaa atarudi na akirudi tulia kabisa kama unamtaka huyo jamaa la sivyo utamfukuza kabisa. Huyu bado muoga na maneno yako yanamkimbiza. Tulia

Asante kwa ushaurii japo sijawahi zungumza suala la ndoa nina zaidi ya mwaka…

Sasa yeye ndio anaezungumzia hilo suala na wala huwa sijibu kitu maana naonaga ni mbabaishaji

Kwasasa sitaki ndoa nataka mahusiano yasiyo na stress Kama Mungu alipanga atanioa ni sawaa
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi 8 kwa jina lake ni Frank, kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndiyo huyo mchaga ambae hayuko romantic. Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpaka mwezi uliyopita ndiyo tulifanikiwa kukulana.

Nikiwa nimetimiza miaka 25 mwezi uliopita niliona siyo mbaya kumtunuku ninayemwita mpenzi wangu Frank. Hata yeye alifurahi maana ndiyo mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri), akaniahidi ahadi kedekede. Basi ndiyo hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.

Sasa ndugu zangu mimi ndiyo bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia. Baada ya tendo alionesha kunijali kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndiyo mambo yakarudi kama mwanzo, hanitafuti mpaka nimuanze. Mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu

Tangu hapo sikumtafuta, baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpaka hivi leo ninavyoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha. Nilikuwa na view status zake naye ana view zangu ila baadaye nikaona kimya, sioni status zake wala sioni akiview zangu.

Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli, ikabidi nimuulize sister wangu kwamba anaona status za Frank akajibu ndiyo, nikamwambia na dp, aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa!

Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia kama leo baada ya kujua kumbe kaniblock. Ina maana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage? Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara, ila ndio hivyo tena.

Sijutii kutolewa bikira, kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi.

Ni hayo tu naombeni mniliwaze. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Tatizo inawezekana katika kipindi hicho mlipokuwa wapenzi bila mbususu kuchakatwa, uligharamikiwa vitu vingi.

Baharia akamind, ulivyojifanya kumpotezea akaona wewe boya tu.

Hii iliwahi kunikuta. Msichana mmoja toka Nigeria nilikutana naye siku moja tukapiga story wala hatukuongea chochote kimapenzi. Siku nyingine nikakutana naye nikatupa ndoano, alijifanya mjuaji basi nikapotezea.

Zikapita miezi akajaa kwenye 18 zangu, nikaishia kula mbususu. Sasa kimbembe kikaanza anataka nimuoe mara wivu, nikampa kisogo. Mara nyingi mimi mwanamke akijifanya kunizungusha nakuwa na malengo tofauti, kumla na kumtema.
 
Me mwenyewe nipo na single mother ananisumbua siku akijichanganganya akatoa mbunye ajue imekura kwake
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi 8 kwa jina lake ni Frank, kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndiyo huyo mchaga ambae hayuko romantic. Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpaka mwezi uliyopita ndiyo tulifanikiwa kukulana.

Nikiwa nimetimiza miaka 25 mwezi uliopita niliona siyo mbaya kumtunuku ninayemwita mpenzi wangu Frank. Hata yeye alifurahi maana ndiyo mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri), akaniahidi ahadi kedekede. Basi ndiyo hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.

Sasa ndugu zangu mimi ndiyo bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia. Baada ya tendo alionesha kunijali kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndiyo mambo yakarudi kama mwanzo, hanitafuti mpaka nimuanze. Mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu

Tangu hapo sikumtafuta, baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpaka hivi leo ninavyoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha. Nilikuwa na view status zake naye ana view zangu ila baadaye nikaona kimya, sioni status zake wala sioni akiview zangu.

Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli, ikabidi nimuulize sister wangu kwamba anaona status za Frank akajibu ndiyo, nikamwambia na dp, aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa!

Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia kama leo baada ya kujua kumbe kaniblock. Ina maana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage? Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara, ila ndio hivyo tena.

Sijutii kutolewa bikira, kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi.

Ni hayo tu naombeni mniliwaze. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Akinipenda mama inatosha, nyimbo tamu sana
 
Kwamba ulitembea na bikira yako hadi miaka 25? Hicho "kiungo" hakitakiwi kukaa mwilini zaidi ya miaka 20...
 
Uenda amekutana na asichokitarajia. sometimes mamen uwaga tunanakuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia
 
Back
Top Bottom