RungulaBwana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 219
- 352
.Mbona wewe jina lako la Rungu afu la Bwana halikusadifu[emoji276][emoji276]
Ndio hivyo ndo mana nasema msipobadilika ko nyingi zitawahusu ni hayo tu.Hatuwezi tukawa na kila mtu inakubidi umchague mmoja wa kuwa nae so hayo mengine ni hitilafu tu zinazotokea kwenye mapenzi
.
Jina langu ni biblical, soma Yeremia 51:20 "Wewe u rungu langu na silaha zangu za vita"
Ndio hivyo ndo mana nasema msipobadilika ko nyingi zitawahusu ni hayo tu.
Inawezekana kitumbua ni kibovu
SahihiHuu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.
[emoji1787] imenibidi tu nicheke kwa kweliNa hajasema Ni mbele au ya uko kwenye mtandao pedwa,maana saivi dunia Ina mengi,isije ikawa kaandika kifasihi
Sawa nnalazimisha lakini naamini ujumbe umefika hapo.Wewe nae ni kama ni mmoja wa wanaume wanaolazimisha kupendwa na wanawake
Kupenda ni hatua bhn
AhahaaaaaHuu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.
🤣🤣🤣 HahahaWachangiaji humu wana mambo ya ajabu unaweza kufa kwa presha
DuuHuu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.