Baada ya kunikula kanichunia

Baada ya kunikula kanichunia

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi8 kwa jina lake ni Frank kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za

Ni hayo tu naombeni mniliwaze [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana kwa jambo hili...utapata akupedae.
 
Nipm namba yako nikutumie laki moja hapo ukapoze machungu sehemu tulivu. Utanishukuru baadae.
 
Ni mwanamke mwenye li korongo lake huyu. Hata frank hakurudi sababu alikuwa anaelea kila upande

[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani hivi kwanini mnapenda kutunga story zenu [emoji1787]
 
Kwanza sio bikra ni bikira


Anyway sijaandika kumuhakikishia mtu nimeandika nipate hafueni nimechoka kuumia kimyakimya
pili bikira ni kwa bikira Maria tu....nyie wengine ni bikra.
 
Huu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.
Hahaha! Halafu anasema hayuko romantic. Labda jamaa kagundua ilikuwa bikra ya kichina.😄 maana ana uzoefu na mapenzi lakini bado alikuwa bikra.
 
Frank mume wa mtu huyo karudi kwa mkewe, jipange upya mrembo
 
Mvuvi unavuaa
Hapo Miaka 25 amenikula bikra

Technically ni kusema am 25 mileage ni ndogo nipo single
 
Back
Top Bottom