Baada ya kunitumia picha yake kanizira!

Baada ya kunitumia picha yake kanizira!

🤣🤣 Sasa Mimi na wewe nani hanaakili ndugu..? Maana wewe umeshindwa hata kutambua kuwa hata kuandika hivi ni akili!

Nchi iuzwe tu tugawane hela tu..🤣🤣
Kumbafu kabisa ww....
huna akili hata moja
 
Nilikutana nae mtandaoni si nikajipinda kuomba picha nikijua naopoa pisi kali kumbe pisi kombe!.. na hii ndo picha yake
View attachment 1722924

Baada ya kuiona sikujibu chochote zaidi ya kumuwekea haka ka video
View attachment 1722930

Tuwe makini ndugu zanguni maana matusi niliyotukanwa na huyo kibonge mpk nimeota tujipu uchungu!.
Mbona hana Tatizo lolote? Mm ndio mambo yangu haya
 
Mbona hana Tatizo lolote? Mm ndio mambo yangu haya
Mkuu tatizo nakibamia kitapitaje hiyo minyama mpk kifikie utamu halafu hao hawakatikagi..🤣🤣
 
Huyu muigizaji umemtoa kwenye movie gani ya Kinigeria? Hizi chai hizi!
 
Bwashee usisahau imani ya CCM kwamba binadamu wote ni sawa......
Huyo kibonge anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake
 
Dah jamani kwani huyo dada ni mbaya??? Unataka uzuri gani, mbona mamiss wapo uwafati unakuja leta nyodo humu, acha zako bana...pm nambaa yake km unajua unachòongea
 
Back
Top Bottom