Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,230
- Thread starter
- #21
Unaenda mpango wa kando
Unamsaliti mkeo/mwenzio nakuombea mabaya yakukute kwanza utie adabu[emoji23] [emoji23]
Ungejua hadi mume wangu yupo hapa kando ananiangalia navyofanya kazi hii
Sema yeyey hanaga roho za kwa nini
Thats why kazi yangu inaendelea vyema na sio muda ntaleta updates za nilipofikia