Baada ya kuoa/kuolewa hauendi tena kanisani/msikitini, niambie kwanini?

Baada ya kuoa/kuolewa hauendi tena kanisani/msikitini, niambie kwanini?

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,855
Nimeona kama ndivyo ilivyo kwa watu wengi, hebu tuambie wewe kama Mhanga wa hii hali tatizo nini?


Uzi tayari!.
 
Una umri wa miaka 27 na umehitimu chuo kikuu na una degree halafu una mpenzi mwenye umri wa miaka 25, elimu ya diploma lkn pamoja na degree yako bado anakutoa chozi na kukusumbua.
Mapenzi yana ujinga mwingi sana.
Lete vitu vya web design na coding tujifunze. Mapenzi tuwaachie wakina Miss Natafuta
 
Mkuu kumtumikia Mungu au kumwabudu Mungu haitakiwi iwe na sababu lakini wengi wetu tunakwenda mbele za Mungu Kwa ajili ya kutafuta au kupata kile tunachokitaka lakini kumtumikia Mungu ni kutafuta kujua na kufanya vile Mungu anavyotaka
 
Mdau andika komenti kulingana na andiko!.
 
Una umri wa miaka 27 na umehitimu chuo kikuu na una degree halafu una mpenzi mwenye umri wa miaka 25, elimu ya diploma lkn pamoja na degree yako bado anakutoa chozi na kukusumbua.
Mapenzi yana ujinga mwingi sana.
Lete vitu vya web design na coding tujifunze. Mapenzi tuwaachie wakina Miss Natafuta

Unapiga code?
 
Nimeona kama ndivyo ilivyo kwa watu wengi ebu tuambie wewe kama Mhanga wa hii hali tatizo nini?


Uzi tayari!.
Huendi kutokana na mtu uliyekua nae, je atakusaidia kuitengeneza akhera yako au atakutoa ktk njia njema.
Je mume au mke ulieoa ni yule ataekuuliza mume wangu au mke wangu hujaswali, hujfanya ibada au kadha wa kdha au ni yule ambe ataku anakumbia now bar flan imefunguliwa twende tukaione, sasa hawa wawili ndo utajua utaenda kwenye nyumba za ibad au mtaachana na ibada mje muingie siku ya mazishi
 
kuna mashaka mengi kwenye haya makusanyiko yanayoitwa makanisa ya kiroho ya leo hii kiasi kwamba yanavutia zaidi wanawake kwani akili zao kila mmoja anajua, wanaume kwa sababu wapo so logical huwa wanabaki nyuma jambo ambalo huzua sintofahamu ndani ya familia kwa sababu mwanamke atataka kumburuza mwanaume kwa sababu ameshaaminishwa na mchungaji.....jiwe gizani hilo.
 
Una umri wa miaka 27 na umehitimu chuo kikuu na una degree halafu una mpenzi mwenye umri wa miaka 25, elimu ya diploma lkn pamoja na degree yako bado anakutoa chozi na kukusumbua.
Mapenzi yana ujinga mwingi sana.
Lete vitu vya web design na coding tujifunze. Mapenzi tuwaachie wakina Miss Natafuta
Na miss natafuta anayajua sana mapenzi kwa jinsi ambavyo hucomment anapofikia 'page'! Zinazohusu mambo hayo.
 
Back
Top Bottom