Unaweza ukajikuta umekiona chakula kingine ambacho awali hukukigundua kama kipoWe ushamaliza kula unaangalia menu tena ya nini?
Tatizo tushakula kiapo hadi mmoja wetu afe.Unaweza ukajikuta umekiona chakula kingine ambacho awali hukukigundua kama kipo
Twendeni kanisani jamani bado kuna pisi kali nyingi sana zipo kule
Kuna mitungi ya gesi,kuna magunia mawili ya mkaa...unangoja nini kumRIPTatizo tushakula kiapo hadi mmoja wetu afe.
Una umri wa miaka 27 na umehitimu chuo kikuu na una degree halafu una mpenzi mwenye umri wa miaka 25, elimu ya diploma lkn pamoja na degree yako bado anakutoa chozi na kukusumbua.
Mapenzi yana ujinga mwingi sana.
Lete vitu vya web design na coding tujifunze. Mapenzi tuwaachie wakina Miss Natafuta
Huendi kutokana na mtu uliyekua nae, je atakusaidia kuitengeneza akhera yako au atakutoa ktk njia njema.Nimeona kama ndivyo ilivyo kwa watu wengi ebu tuambie wewe kama Mhanga wa hii hali tatizo nini?
Uzi tayari!.
Kwanini?Kanisani tunaenda ila kuna vitu huwezi kushiriki, mfano chakula cha Bwana
Kanisani unakua umejitenga na kundi endapo hukuoa kwa ndoaKwanini?
Unapiga code?
Na miss natafuta anayajua sana mapenzi kwa jinsi ambavyo hucomment anapofikia 'page'! Zinazohusu mambo hayo.Una umri wa miaka 27 na umehitimu chuo kikuu na una degree halafu una mpenzi mwenye umri wa miaka 25, elimu ya diploma lkn pamoja na degree yako bado anakutoa chozi na kukusumbua.
Mapenzi yana ujinga mwingi sana.
Lete vitu vya web design na coding tujifunze. Mapenzi tuwaachie wakina Miss Natafuta